kidotistyle
Member
- Dec 20, 2012
- 5
- 0
Mimi ni mwana ndoa mme wangu anamwanamke wa nje nimeshakuta msg simu za yule dada nazikuta nimeumia mpaka sasa hv naamua kupotezea ila kinachonisumbua sasa ni mhemuko haniridhishi kabisa ni atanipa kimoja hata kabla sijafika mwisho kamaliza na hataki nimguse tena nikifikiria kuwa na mwanaume naogopa kushindana nae Na pia naogopa kuitwa mke wa mtu kicheche nikifikiria kuondoka sina kazi nitawalisha nini watoto na pia naona nikiwa na mtu hatanithamini maana ataona mke wa mtu kicheche kweli inanichanganya nifanyeje wenye hekima tafadhari naomba ushauri