Kubota
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 533
- 1,110
Wakuu heshima kwenu, ninaomba msaada nifanyeje, ninapofungua thread ya JF nashindwa kuscroll ili kusoma posts, ile scroll bar hutokea na kutoweka au inakuwepo lakini nikiscroll hainifanyi kufika hadi mwisho wa page yaani inascroll kidogo tu na kufikia limit. Ni laptop NEC, Windows xp. Wakuu mnaojua mambo haya msaada tafadhari nashindwa kujibu hoja na kupost jamani, nifanyeje, nikizima pc na kuwasha hakuna changes, kuna settings za kufanya? Natanguliza shukurani.