Siwezi kuoa kwa hali hii

Mleta mada yupo sahihi siku hizi wanawake wapo loose sana mbali ya kwamba hizi ni zama za magonjwa yasiotibika, hawajali kabisa.
 
Thread za kizushi utazijua tu...kuna ofisi zinabana watumishi kama za private...mpaka mpate masaa mawili ya kuwalala wake za watu?...kama mekosa wa kuoa acheni kukashifu ndoa za watu...
 
Hakuna kitu kama hicho. Kampuni gani binafsi wanamuda wa kupoteza hivyo. Mapenzi gani ya one hour. Hata kama watu wanachepuka siyo kihivyo. Usiwaogopeshe watu
 
yawezekua tokea zamani wanawake walikua wanachepuka ndio maana mzee kama kasafiri wakati wakurud anatuma kwanza koti nyumbani,hapo mama anajua mzee karudi kama kulikua na kisicho chema anakiondoa.ndoa inadumu mpaka wanaadhimisha jubilee ya miaka 50 ya ndoa. usimfuatilie mkeo kamwe.
 

inawezekana haswaa shetani akiamua lake....mbona watu povu linawatoka hasa mlio oa lol..mwenzenu katoa hisia zake kwa aliyoona u may take or leave it !!!
 
Thread za kizushi utazijua tu...kuna ofisi zinabana watumishi kama za private...mpaka mpate masaa mawili ya kuwalala wake za watu?...kama mekosa wa kuoa acheni kukashifu ndoa za watu...
ofisi zinatofautiana bana, ila huo ndo ukweli
 
Hakuna kitu kama hicho. Kampuni gani binafsi wanamuda wa kupoteza hivyo. Mapenzi gani ya one hour. Hata kama watu wanachepuka siyo kihivyo. Usiwaogopeshe watu

ukweli utabaki pale pale!
 
muombe mungu akupe mke wa kufanana na wewe. ukiomba kwa kumaananisha na kuamini mungu wetu ni mwaminifu atakupa mke mwema.

wakati wakumuomba mungu mke mwema kumbuka nae anatakiwa kuwa mume mwema,mke mwaminifu nae pia awe mwaminifu.
 
Mi nakushauri uoe mwalimu, mwalimu hanaga lunch time muda wa lunch ye yupo nyumbani na familia....kwi kwi kwi promo at work!!!!
 
huwezi mlinganisha baba yako na kizazi cha sasa you are lost!

Ogopeni naona mnaongezeka....

Ulishawahi kujichunguza we mwenyewe unatabia zipi?

Unadhani iliposemwa waacheni wafu wawazike wafu wenzao unaelewa nini?

Mtoto wa kiume uogope kuoa kisa, kuna watu wanamapepo yao ya ngono...Kama hivyo ndivyo, anzisheni chama cha waogopa kuoa kisa uaminifu haupo.

Inawezekana nimepotea kweli, ila niambie hivi visa vimeanza lini? Labda zamani yako niya kabla ya dunia kuwepo.
 

we baki single. karibu kwenye chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…