Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 528
- 822
Najua unavyo jiskia mkuu....🤣Kakae kijijini hamna mashamba huku...Kavae mitumba huko watu hapa wanaenda na fashion sio kuvaa nguo mwaka mzima kwani imekuwa ngozi ya mwili?
Habari zenu..
Juzi nilikuwa Dar maeneo ya Mabibo kweli Dar sio sehemu pakuishi watu. Kwanza vijana wa ovyo sana, wanajiona wajanja alafu pesa hawana, nguo zao sasa za ajabu kweli.
Joto kama jehanamu ndani mtiti nje mtiti, vile vinyumba vyao vifupi kama mabanda ya kufugia nguruwe.
Kuna kasumba mbaya sana, mtoto hamuheshimu mkubwa, yani wanaishi kama kambale ajulikani mkubwa nani mtoto nani.
Vyakuka vya kiwaki mimi siwezi kula chips hata siku moja, mikuku ya kisasa daah mnamkuta kijana anakula chips tomato nyingi na mikuku ya kisasa ndo maana vijana wa Dar hawana nguvu za kiume
Mimi nitaishi Mwanza, Shinyang, Musoma, Mbeya, Iringa, Moshi ila sio Dar
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu.....
Umesahau daslam:-
1. Hawatupi miguu ya kuku.
2. Utumbo wa kuku unaliwa huko daslam.
3. Wanaume wanavaa vipensi mwisho juu ya mapaja na kandambili..🤔
4. Mume anaagiza chips mayai akiwa na mkewe..🤗
5. Wanaume wananyonya pipi kijiti..😂
6. Wanathamini gari kuliko nyumba...😝
7. Mwanaume anakunywa henken badala ya balimi..🤨
8. Eti mwanaume anavuta sigara badala ya bange..😎
hahahhHabari zenu..
Juzi nilikuwa Dar maeneo ya Mabibo kweli Dar sio sehemu pakuishi watu. Kwanza vijana wa ovyo sana, wanajiona wajanja halafu pesa hawana, nguo zao sasa za ajabu kweli.
Joto kama jehanamu ndani mtiti nje mtiti, vile vinyumba vyao vifupi kama mabanda ya kufugia nguruwe.
Kuna kasumba mbaya sana, mtoto hamuheshimu mkubwa, yani wanaishi kama kambale ajulikani mkubwa nani mtoto nani.
Vyakuka vya kiwaki mimi siwezi kula chips hata siku moja, mikuku ya kisasa daah mnamkuta kijana anakula chips tomato nyingi na mikuku ya kisasa ndo maana vijana wa Dar hawana nguvu za kiume
Mimi nitaishi Mwanza, Shinyang, Musoma, Mbeya, Iringa, Moshi ila sio Dar
Basi endelea kula chipsHivi aliyesema nguvu za kiume zinaletwa na ugali ni nani?
Wewe umehadithiwa kuhusu Dar hujawahi kufika Dar.Habari zenu..
Juzi nilikuwa Dar maeneo ya Mabibo kweli Dar sio sehemu pakuishi watu. Kwanza vijana wa ovyo sana, wanajiona wajanja halafu pesa hawana, nguo zao sasa za ajabu kweli.
Joto kama jehanamu ndani mtiti nje mtiti, vile vinyumba vyao vifupi kama mabanda ya kufugia nguruwe.
Kuna kasumba mbaya sana, mtoto hamuheshimu mkubwa, yani wanaishi kama kambale ajulikani mkubwa nani mtoto nani.
Vyakuka vya kiwaki mimi siwezi kula chips hata siku moja, mikuku ya kisasa daah mnamkuta kijana anakula chips tomato nyingi na mikuku ya kisasa ndo maana vijana wa Dar hawana nguvu za kiume
Mimi nitaishi Mwanza, Shinyang, Musoma, Mbeya, Iringa, Moshi ila sio Dar
Kwa hiyo mabibo sio dar??Wewe umehadithiwa kuhusu Dar hujawahi kufika Dar.
Yani ufike mabibo useme ukifika Dar huu ni utani sasa.
Umaarufu wa mabibo ni solo la ndizi na Chuo cha NIT na Loyora basi.
Halafu tukujurishe tu sisi wana Darisalama sasa hivi ni winter time tunajifunika maduvet na mablanketi usiku ni baridi.
Acha urongo na kukariri, machinga wauza vitambaa sasa hivi hawana dili wamebadiri biashara.
Kwanini hujasema kuwa huwezi kuishi mabibo tu!?Habari zenu..
Juzi nilikuwa Dar maeneo ya Mabibo kweli Dar sio sehemu pakuishi watu. Kwanza vijana wa ovyo sana, wanajiona wajanja halafu pesa hawana, nguo zao sasa za ajabu kweli.
Joto kama jehanamu ndani mtiti nje mtiti, vile vinyumba vyao vifupi kama mabanda ya kufugia nguruwe.
Kuna kasumba mbaya sana, mtoto hamuheshimu mkubwa, yani wanaishi kama kambale ajulikani mkubwa nani mtoto nani.
Vyakuka vya kiwaki mimi siwezi kula chips hata siku moja, mikuku ya kisasa daah mnamkuta kijana anakula chips tomato nyingi na mikuku ya kisasa ndo maana vijana wa Dar hawana nguvu za kiume
Mimi nitaishi Mwanza, Shinyang, Musoma, Mbeya, Iringa, Moshi ila sio Dar
Kwani mabibo sio dar??Kwanini hujasema kuwa huwezi kuishi mabibo tu!?
Hujaishi Oysterbay, hujaishi mbezi, hujaishi mikocheni, hujaishi Masaki...
Kwanini unapima maisha ya mabibo na kugeneralize Dar es salaam nzima.
We huna HelaHabari zenu..
Juzi nilikuwa Dar maeneo ya Mabibo kweli Dar sio sehemu pakuishi watu. Kwanza vijana wa ovyo sana, wanajiona wajanja halafu pesa hawana, nguo zao sasa za ajabu kweli.
Joto kama jehanamu ndani mtiti nje mtiti, vile vinyumba vyao vifupi kama mabanda ya kufugia nguruwe.
Kuna kasumba mbaya sana, mtoto hamuheshimu mkubwa, yani wanaishi kama kambale ajulikani mkubwa nani mtoto nani.
Vyakuka vya kiwaki mimi siwezi kula chips hata siku moja, mikuku ya kisasa daah mnamkuta kijana anakula chips tomato nyingi na mikuku ya kisasa ndo maana vijana wa Dar hawana nguvu za kiume
Mimi nitaishi Mwanza, Shinyang, Musoma, Mbeya, Iringa, Moshi ila sio Dar
Kwakweli sahivi baridi kabisaWewe umehadithiwa kuhusu Dar hujawahi kufika Dar.
Yani ufike mabibo useme ukifika Dar huu ni utani sasa.
Umaarufu wa mabibo ni solo la ndizi na Chuo cha NIT na Loyora basi.
Halafu tukujurishe tu sisi wana Darisalama sasa hivi ni winter time tunajifunika maduvet na mablanketi usiku ni baridi.
Acha urongo na kukariri, machinga wauza vitambaa sasa hivi hawana dili wamebadiri biashara.
Ukiishi dar akili zitakuwa kama chiziWe huna Hela
Dar Kuna mahali hakuna joto😅🤭
Dar ukiwa na Hela joto utalisikia tu, hata vyakula utakula vya ukweli sio hivyo vya kisasa