Habari wana JF , naomba msaada nashindwa kudownload chochote kwenye laptop yangu hata yahoo messenger inakataa. mwenye kujua tatizo naomba msaada
​Ongeza maelezo kidogo ya tatizo lako ili tukupe msaada unaouhitaji. Karibu.
- Je unatumia OS gani?
- Je kuna Download manager yeyote uliyokua ukitumia?. Ni ipi hiyo.
- Je ukijaribu kudownload ujumbe gani unajitokeza?
- Je mala ya mwisho kuifanyia "clean up" PC yako ni lini?
- Start programs Je?.
Asante Ndugu.
1. 64-bit operating system
2. Ndiyo , nilinunua ikiwa na software ya download ambayo sasa inasema "internet Download manager has been registered with a fake serial number or the serial number isblocked. IDM is existing.."
3. hii ni laptop mpya nimenunua hata wiki mbili hazijaisha
4. Sielewi unaposema start up program, ni nini?
Asante Ndugu.
1. 64-bit operating system
2. Ndiyo , nilinunua ikiwa na software ya download ambayo sasa inasema "internet Download manager has been registered with a fake serial number or the serial number isblocked. IDM is existing.."
3. hii ni laptop mpya nimenunua hata wiki mbili hazijaisha
4. Sielewi unaposema start up program, ni nini?
Habari wana JF , naomba msaada nashindwa kudownload chochote kwenye laptop yangu hata yahoo messenger inakataa. mwenye kujua tatizo naomba msaada
[url=http://www.eagleget.com/download/]Download EagleGet - EG Download Accelerator, Free Video Downloader[/url]
Asante Ndugu.
1. 64-bit operating system
2. Ndiyo , nilinunua ikiwa na software ya download ambayo sasa inasema "internet Download manager has been registered with a fake serial number or the serial number isblocked. IDM is existing.."
3. hii ni laptop mpya nimenunua hata wiki mbili hazijaisha
4. Sielewi unaposema start up program, ni nini?
Asante sana Mungu akubariki kwa moyo huo nashukuru tena