Siwatakii Pasaka njema

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,339
Reaction score
16,799
kwa wale mtakao kuwa mnasherekea siwatakii pasaka njema. sijalipwa mshahara na sina hela na hata sijakaribishwa na mtu hadi sasa...hivyo nina hasira sana!
 
Una hasira za mkizi..
 
kwa wale mtakao kuwa mnasherekea siwatakii pasaka njema. sijalipwa mshahara na sina hela na hata sijakaribishwa na mtu hadi sasa...hivyo nina hasira sana!
Jiajiri wewe, mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.
 
kwa wale mtakao kuwa mnasherekea siwatakii pasaka njema. sijalipwa mshahara na sina hela na hata sijakaribishwa na mtu hadi sasa...hivyo nina hasira
hahahahaha
 
kwa wale mtakao kuwa mnasherekea siwatakii pasaka njema. sijalipwa mshahara na sina hela na hata sijakaribishwa na mtu hadi sasa...hivyo nina hasira sana!

aaaa Zamaulid hasira za nini sasa,we ka vipi nenda kwa masawe pale dukani kakope mchele,sukari na mazaga zaga mengi.
Kisha nenda kwa yule jamaa ako pale mtaa wa kati,halafu mkope elfu 20 uone ka sikukuu haitokuwa njema.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu sikukuu ya kukopa mbaya asikwambie mtu...hasa ukianza kufikiri kulipa deni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…