Mkuu kusema ukweli - ujue kitu chochote kinachotoka katika mwili wa binadamu ni uchafu, na kama ni uchafu nini tunachotakiwa kufanya?.... Ni bora tuutolee uchafu wetu eneo husika au pasi kuonekana na mtu mwingine, sababu mwingine akiona haileti picha nzuri kwa hulka zetu za kibinaadamu.