Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 541
- 175
Labda Uteuzi wa Pasco upo njiani....
Mwandiko si anaubadilisha tu, halafu anavaa Gamba lililo kinyume kwa muda, kwa mfano Kama alikuwa utopolo kwa sasa anakuwa Simba mla utopolo.Kuna ID yake nyingine nayo imepigwa ban. Huyu hata afungue ID mpya kila siku mwandiko wake haujifichi
Vituko mnavifanya nyinyi MATAGA kwa kujiondoa akili kisa uteuziAma kweli ukiugua kichaa siku moja moja hauwachi kufanya vituko!