Siwaoni wana jukwaa hawa tokea mwaka huu uanze wa 2021, haikuwa kawaida yao, je wako wapi?.

faiza Foxy kitambo sana kweli sijamwona humu, ndio maana wachafuzi wa lugha yetu mama ya kiswahili wanatamba, nakumbuka vita yake yeye na mkuu Mshana Jr sijui walizinguana nini hawa watu!! Ilikua matata sana. Anyway Mungu awape ulinzi sabiti uko mlipo
 
Sasa hivi wa kuwatukana na kuwaangushia jumba bovu hawapo, point 3 wanazikosa ndio mana wanaonekana kwa machale
 
Kwa wale wanamuulizia bibi yupo wasihofu cha watupe jiwe kubwa gizani tu la kuhusu mashariki ya kati mara moja ataibuka kusiko kujulikana na kuanza mashambulizi pale pale

Bibi hatakagi ujinga juu ya Mudd
 
Kuna ID yake nyingine nayo imepigwa ban. Huyu hata afungue ID mpya kila siku mwandiko wake haujifichi
Mwandiko si anaubadilisha tu, halafu anavaa Gamba lililo kinyume kwa muda, kwa mfano Kama alikuwa utopolo kwa sasa anakuwa Simba mla utopolo.
 
Back
Top Bottom