Sasa na wewe nae mwanamke gani. Kwanza una date vipi na mwanaume hana kazi alafu unataka kumuomba tena laki tatu. Yaani unashindwaje kutumia mbususu yako kupata wanaume wenye mihela wakupe mihela na utamu?Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.
Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.
Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Husband Material nipo hapa... nimepanga mwaka huu niwe na wife!!Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka.
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham kabisa majukumu yao.
Unakuta mtu Hana Kazi, kula kulala kwa baba alafu anahitaji mwanamke anayepambania maisha yake. Akiombwa ata laki 3 anahaha, anatetemeka. Ss huna Kazi mwanamke wa nini?.... Mwanamke anahitaji matunzo, anahitaji kujaliwa, mwanaume unatakiwa ujuwe majukumu yako na mwanamke naye ajue majukumu yake. Lkn siku hiz majukumu ya mwanamke anafanya mwanamke na majukumu ya mwanaume anafanya pia mwanamke. Mi nashindwa elewa kabisa.
Ukiwa hupendwi ni hupendwi tuuu, usiforece kupendwa ilhali hujui nini mwanamke anataka. Over.... Muwe na mapumziko mema.
Mh! Alikuwa hajalewa huyu!