Siwaelewi Halotel

Siwaelewi Halotel

Glas

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,242
Reaction score
1,188
Jamani labda inawezekana hii issue inatokea kwangu tu, mnisaidie nijue...yan ikitokea halotel wanakutumia sms kwamba salio la MB zako ni 5, within a seconda wanatuma "hauna salio la MB"...ni kweli mb5 zinaweza katika within 1 or 2 seconds?
 
Weka bench hao mimi .cheap yao ipo kwa walet miezi sasa
 
ni kwetu sote,once hiyo meseji ukiipata huwa zimeongozana na hiyo ya umebakiwa na 0,nchi yetu tu mayatima serikali haina msaada wowote kwahaya tunayofanyiwa na mitandao...
 
Sasa huwaelewi halotel unafanya nini huko? Hanna mitandao mingine?
 
ni kwetu sote,once hiyo meseji ukiipata huwa zimeongozana na hiyo ya umebakiwa na 0,nchi yetu tu mayatima serikali haina msaada wowote kwahaya tunayofanyiwa na mitandao...
Isp wako wengi sana sioni haja ya kuminyana na hao wavimba macho wa vietnam
 
hamia ttcl ,elfu 3 unapata 4gb kwa siku 30
Tatizo la ttcl coverage yao ni ndogo sana, ukiwa center ni wazuri lakini ukitoka nje hata kilomita mbili tu hamna mtandao
 
Laini yao sasahivi natumia bando la sms za mwezi mzima tu na sio kwa matumizi mengine.
 
Jamani labda inawezekana hii issue inatokea kwangu tu, mnisaidie nijue...yan ikitokea halotel wanakutumia sms kwamba salio la MB zako ni 5, within a seconda wanatuma "hauna salio la MB"...ni kweli mb5 zinaweza katika within 1 or 2 seconds?
2014 nilichukua special namba kwa 60,000 na modem 60,000 jumla 120,000. ndani ya miezi kadhaa nikagundua nimeingia choo cha kike nikamwaga manyanga na kuachana nao, wana stability ya internet na coverage kubwa lakini hawakunishawishi nibaki kwao
 
Halotel MB zao huwa zinapeperushwa na upepo
 
Nimewaelewa wakuu...leo ndo mwsho wa kutumia hii chip
 
Nilishawahama kitamboo kwanza kifurushi cha chuo walikipunguza kutoka 1229 MB kwa 1500 mpk 800 MB alafu zinaisha ndani ya siku tatu. Sasa nimerudi nyumbani tigo 1229 MB kwa wiki saaaafi
 
Back
Top Bottom