Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,348
- 139,136
- Thread starter
-
- #21
Kama haikuhusu kaa kushoto. Hii sio forum ya UtopoloBasi kaeni kimya habari ya kubwatabwata na visingizio lukuki aviwezi kuwasaidia chochote kiufupi mmepakatwa na uwezo wenu uliishia apo, waliopambana kiume ni wale waliosonga mbele izo porojo nyingine hazina mantiki
Matusi hayana maanaWe mwenyewe chale hadi mndukuni
Sio shuti tu hata kona moja hawakupatamijitu haikupiga hata shuti moja kuelekea golini mwa pirates alafu mnasema hamwadai , kweli mashabiki wa utopolo ni mbumbumbu kweli kweli
Tumedhalilishwa Mbaya, Na Hii Wametuharibia Mpaka Sisi Yanga Timu Za Nje Wataanz Kutuhisi Sisi Ni Wachawi Pia Pindi Tukianza Kucheza Michuano Ya CAF.Kitendo walichokifanya Simba kule SA ni cha aibu,aibu,aibu kupitiliza
mijitu mama yakomijitu haikupiga hata shuti moja kuelekea golini mwa pirates alafu mnasema hamwadai , kweli mashabiki wa utopolo ni mbumbumbu kweli kweli
Punguza hasira Jitu...kaa na mijitu wenzio mjipange, tarehe 30 sio mbali[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]mijitu mama yako
Jitu mama yako? Mbona unajichekesha vipi?Punguza hasira Jitu...kaa na mijitu wenzio mjipange, tarehe 30 sio mbali[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Yanga mliopigwa mbele nyuma vipi mnadaiwa na naniWanadaiwa na WaTz kwa kutuvunjia heshima na kuiletea sifa mbaya Taifa kwa uchawi.
Mikia mnajua kulialia tu,vipi kama lile lilikuwa goli la offside vipi ile ya goli lenu ilikuwa penati?. Vipi ile card ya mnayoilalamikia mgalu kupanda kwenye mguu,ingekuwa upande wenu ingekuwa ndio story ya vijiwe vyote vya mikia
Imepenya vizuri sanaKama haikuhusu kaa kushoto. Hii sio forum ya Utopolo
Na rage pia arudi abebe mbumbumbu wake maana ni aibu hiiJe , wewe hata hako ka upendeleo ulikapata zaidi kupigwa nyumbani na ugenini?
Luck Eymael rudi uchukuwe viumbe wako wametuchosha.
Kweli kwa beki tisa. Si mchezo.Ndiyo maana Orlando walishangilia kupitiliza ushindi wa penati kwakuwa hawakuamini kama wangeitoa Simba mashindanoni.
Hii comment hawezi kujibu. [emoji1]Nje ya mada , vipi uzi wako wa takwimu Kibu D Vs Mayele mbona umeutelekeza unapita buyu kali hutoi takwimu tena ?
Yani wanachomaanisha hawawadai kwa kukaba maana uwezo wa kushinda haukuwepo.mijitu haikupiga hata shuti moja kuelekea golini mwa pirates alafu mnasema hamwadai , kweli mashabiki wa utopolo ni mbumbumbu kweli kweli
Kona wapatie wapi mkuu wakati wote wapo golini kwao. [emoji1]Sio shuti tu hata kona moja hawakupata