Mimi nimecheka alivyosema kua mdogo wake alikua anataniwa shule kua Sitti ni mama yake.Halafu ni bibi bomba...lol
In short huyu dada hajui kujieleza, mtangazaji kamuuliza kabla walikubaliana kua wakifanya kipindi ataeleza kila kitu kwa uwazi lakini kwenye kipindi hataki kujibu maswali.
Madai yake umri wake ni siri yake.
Kwakweli huyu binti hajui kujieleza na swala la umri ni kweli alidanganya kabisa...
Katika jambo la kushangaza pamoja na kukubali kuhojiwa miss tanzania mstaafu kagoma kutaja miaka yake
hata alipoonyeshwa id yake na cheti chakuzaliwa miaka tofauti alisisitiza sitaki kujadili hayo
nahapo ndipo matusi kwenye msg zilianza kupita mbeleya tv
achaneni nae huyo bibi
nk
ameomba asiulizwe tena akitakiwakuja eatv
chapter clsd
mwache ajui tumeanza safari ya matumaini karibuni 30arushakuna mabadiliko yanaendelea moja wapo ni pamoja na pdiddy kuandika kwa ufasaha.
zinatoshaaa....weka picha pdidy
sshhhh! nimewaibia siri ila na nyinyi musije mukatangaza...sitti mtemvu alisoma shule moja na ANNA TIBAIJUKA kuanzia form 1 to form 4.
Sasa si atoe ucho kitabi kama keshafunga kulasa.
Haoni mafanikio ya shigongo kwa kufunga kulasa tu.