Sitti Mtemvu kuongeza nguvu kampeni ya Mama Ongea na Mwanao

Habari toka Lumumba zinasema Miss Tanzania mwaka jana ambaye wabongo hawakutaka aende miss world Sitti binti Mtemvu ataongeza nguvu katika wiki moja ya mwisho katika kampeni ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
Kuja kwa Sitti kuna ongeza nguvu Zaidi kwa warembo kadhaa wa bongo muvi na bongfleva ambapo wengine ni wema,snura,linah,ray,jb,kajala,aunty,blue,johari,sheattah,shilole,masanja nk.
Kila la kheri kwenye kampeni

Hapo pia naongezea na Joti
 
Duh huu uzi akiingia huyo bibi bomba atapata depression

Aah wapi, hao wote walio ndani ya hiyo timu ya Wema hata uwachokonoe kwa kidole ndio kwanza anakaa vyema bila kustuka. Ni magwiji ya kashfa chafu, na wao kusemwa kwa uchafu wao ni ujiko kwao.
Najiuliza CCM mshipa wa fahamu umekatika au umeoza? Kwa mfano mama Samia amekuwa karibu na hawa mabinti kwa takribani miezi miwili, jee kwa bahati mbaya Magufuli anashinda sii tunaweza kuwa na makamu wa Rais ambaye ameshajifunza tabia za Wema au Snura? Huo si ndio mwanzo wa kukuta Ikulu kesi za mara kumgombea Bahressa, au Mengi au Dangote (yule wa Mtwara) maana hiyo ndio level yake? Tukikuta ngumi kati yake na Labda waziri (ke) kumgombea mwingine tutashangaa?
Hawakupaswa hawa vijana wenye historia chafu ya maadili kutumika kwa ukaribu kiasi hicho kwenye kampeni. Huko ni kuishiwa mbinu.
 
Ahhaa haha wewe umeua
 
Mama ongea na mwanao wakati hawana watoto?
Huyo bibi bomba Sitti si alimkana mwanae?
Wema nae akakiri kutoa mimba?
Hii ni dhihaka.
 
Habari toka Lumumba zinasema Miss Tanzania mwaka jana ambaye wabongo hawakutaka aende miss world Sitti binti Mtemvu ataongeza nguvu katika wiki moja ya mwisho katika kampeni ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
Kuja kwa Sitti kuna ongeza nguvu Zaidi kwa warembo kadhaa wa bongo muvi na bongfleva ambapo wengine ni wema,snura,linah,ray,jb,kajala,aunty,blue,johari,sheattah,shilole,masanja nk.
Kila la kheri kwenye kampeni

Nini faida yake? Badala wahangaikie namna ya kupigania haki miliki wao wanapiga kampeni za chama cha zamani kilichowanyonya.

CHAGUA LOWASSA CHAGUA UKAWA.
 
Nimesikia gari la matangazo la ccm hapa mwanza wanasema atakuwepo miss tanzania..na wasanii zaidi ya 40..nikajiuliza ni kampeni za siasa au tamasha!!!
 
Habari toka Lumumba zinasema Miss Tanzania mwaka jana ambaye wabongo hawakutaka aende miss world Sitti binti Mtemvu ataongeza nguvu katika wiki moja ya mwisho katika kampeni ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
Kuja kwa Sitti kuna ongeza nguvu Zaidi kwa warembo kadhaa wa bongo muvi na bongfleva ambapo wengine ni wema,snura,linah,ray,jb,kajala,aunty,blue,johari,sheattah,shilole,masanja nk.
Kila la kheri kwenye kampeni

Hata waka mwite Naomi Campbell Nothing will Change katika kukiporomosha Chama Cha Mapinduzi. Huu ni mwaka wa KUKOSA kwa CCM.
 
Habari toka Lumumba zinasema Miss Tanzania mwaka jana ambaye wabongo hawakutaka aende miss world Sitti binti Mtemvu ataongeza nguvu katika wiki moja ya mwisho katika kampeni ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
Kuja kwa Sitti kuna ongeza nguvu Zaidi kwa warembo kadhaa wa bongo muvi na bongfleva ambapo wengine ni wema,snura,linah,ray,jb,kajala ,aunty,blue,johari,sheattah,sh ilole,masanja nk.
Kila la kheri kwenye kampeni

hiii inathibitisha wanaonufaika na ccm wako sisi wengine ni wapagasi wao
 
Back
Top Bottom