Sitti Mtemvu kuongeza nguvu kampeni ya Mama Ongea na Mwanao

Habari toka Lumumba zinasema Miss Tanzania mwaka jana ambaye wabongo hawakutaka aende miss world Sitti binti Mtemvu ataongeza nguvu katika wiki moja ya mwisho katika kampeni ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
Kuja kwa Sitti kuna ongeza nguvu Zaidi kwa warembo kadhaa wa bongo muvi na bongfleva ambapo wengine ni wema,snura,linah,ray,jb,kajala,aunty,blue,johari,sheattah,shilole,masanja nk.
Kila la kheri kwenye kampeni

Kwani hata hao (red+bold) ni warembo?
 
Haanze kutuaminisha kwanza tarehe yake ya kuzaliwi ni ipi?

Sitti yule kizee cha mwaka 47 au mwingine.

Ukitaja mambo ya umri tu umemkimbiza ! Hivi huyu dada kwanini hataki kutaja umri wake wa halali ?

mwambie aanze kuongea na binti yake aliyemkana, pili atuambie umri wake

Hana ushawishi wowote zaidi ya watu kutaka kujua jinsi ya kufoji umri.

Aende zake bibi Bomba ya kwake tu yamemzidi....hakuna cha mama ongea na bwanako wala nini ni UKAWA tu

Yule bibi bomba?Kila lakheri kachagua fungu lakukosa

yupi huyo?Bibi bomba?

hata mimi nilivyosoma heading tu! nimecheka hadi watu wamenishangaa sikujua kama fisiem wamefilisika kiai hiki!

unaambiwa nusu ajiue alivyokuwa anaona comment za watu kipindi kile sasa karudi tena saa hz atakufa kweli maana watu hawampendi mpaka anajijua!

CCM bhana!! Ndio maana kingunge alisena chama kimeishiwa pumzi!! Hiyo ndio timu ya kuaminisha watu wampigie mtu kura?!
Pesa wanazotumia hapo wangeinvest kwingine ningewaona wa maana sana!

Huyu ni kumfuata tena kule kwenye sociak mediaz tu, na kuanzisha has tag #tuambieumriwako

Bibi Bomba?

Jamani mbona SITTI ana miaka 17 sema aliwahi kupata tu hiyo Masters
 
Mama ongea na mwanao wakati mama yangu yupo ukawa sasa sijui mama ataniambia nini
 
Nilikuwa nasikiwa watu wanasema Mtemvu ana hali mbaya na uenda akaanguka ubunge nikadhani ni masihara, sasa ndio nimepata ushahidi rasmi juu ya kutapatapa kwake!
Atamponza mwanae maana mamlaka husika zilimpotezea kiaina sasa akiibukia kwenye siasa tena ajue yatamkuta.
 
Habari toka Lumumba zinasema Miss Tanzania mwaka jana ambaye wabongo hawakutaka aende miss world Sitti binti Mtemvu ataongeza nguvu katika wiki moja ya mwisho katika kampeni ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
Kuja kwa Sitti kuna ongeza nguvu Zaidi kwa warembo kadhaa wa bongo muvi na bongfleva ambapo wengine ni wema,snura,linah,ray,jb,kajala,aunty,blue,johari,sheattah,shilole,masanja nk.
Kila la kheri kwenye kampeni

Sema tapeli wa ulimbwende!.
Kama huyu naye ni sehemu ya Makampeni meneja wa Magufuli kweli Lumumba kwisha habari yao.
 
Kesho na mimi naenda kurudisha kadi yangu ya uanachama wa CCM tawi la mikocheni. Haiwezakani chama kifike mahali waachiwe akina Snura, Shilole, Aunty Ezekiel, Wema na warembo wengine kama akina Ray, JB, Sheeta, ....
 
Back
Top Bottom