fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Wakipinga, watatoa hoja gani?
Mnafiki huyu babu!..Six six six .....anaangali vizuri upepo wa m4c. Tumkaribishe cdm tumwahidi uspika...tehe tehe te teeeee
Najisikia kwa mara ya kwanza kukubaliana na mawazo ya Itatiro. Tunatakiwa tuanze kufikiria namna ya kupunguza hizi gharama ambazo kusema kweli zinasababishwa na CCM yenyewe.
Hilo nalo nililiwazia ndiyo maana nikasema tu kuwa tuanze kufikiria namna ya kupunguza gharama.Hiyo itakua mbaya sana hujui ccm wataanza kuua washindi iliwao wachukue kirahisi wakiwa washindi wapili? Never Trust ccm! Never ever!