Sitta ni MNAFIKI MKUBWA!Anaishi nyumba ya anasa pale Masaki kama spika mstaafu wakati alipigwa chini kwenye uchaguzi wa uspika!Urambo wananchi wanaishi maisha duni kuliko anavyojifanya kujali maisha yao!huduma mbovu za jamii jimboni kwake!eti ni mtetezi wa wanyonge!duh!unawezaje kutetea wanyonge wakati wewe unaishi kwa anasa kiasi hicho!Sitta hoja zake zimekaa kinafiki nafiki hivi,mara atake kuanzisha CCJ!Urais haupati ng'o!WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta, amesema ataendelea kusema ukweli daima kwa wananchi kuhusu kasoro ndani ya CCM na serikali akiamini kuwa huo ndiyo uwajibakaji.Sitta alisema serikali makini lazima ikiri upungufu unaotokana na makosa yake."Nilichokisema Mbeya ni kuambia Watanzania ukweli. Na nitaendelea kuwaambia ukweli".Kusema ukweli ni kujijengea heshima kwa UmmaAnaendelea kufunguka kuwa hawezi kuishi katika uongo na wanaompinga yeye ni wafuasi wa MAFISADI!Jamani huyo ndio Mzee Samweli Sitta Original!Kipengee cha Kusema hawezi kuishi uongo ndio ka-tamu! View attachment 34274View attachment 34273Atasemayote hata ya "Kumsingizia ni mmoja wa waanzilishi wa CCJ na Anaishi nyumba ya Spika wakati mliona anapostaafu akiwa ndani ya nyuma!
Imekaa vizuri hiyo!Sita alizima mjadala wa dowans bungeni Tanzania imekuwa na Tanzanite na Tanzagiza. Rip samwel sita
Sofia simba? Bora nikaishi pakistani lakini sio kuongozwa na huyu zumbukuku..shule zote zitageuka gest house lol mwanamke yule..CCM watu wa ajabu sana! Hivi mnajua pamoja na unafiki wa 6 bado kuna wanafiki miongoni mwa wanaompinga ndani ya Magamba? Wanampinga si kwa hoja za kuwashambulia mafisadi wenzake kwa njia ya kutafuta umaarufu bali wanampinga kwa kuhofia labda wananchi watamkubali na hivyo kuzuia ndoto zao za kupata urais au ndoto za maswahiba wao wanaowania urais.
Imefikia hatua naanza kuamini kwamba wale wanaobashiri kwamba JK anaweza kukwepa vurugu kwa kumpendekeza Mzanzibari (Zamu yao) au Asha Rose Migiro (Tupate Mwanamana kama kwa Bi. Kiroboto) wako sahihi. JK hana sifa ya kujali matokeo ya vitu anavyofanya yeye anachoangalia ni nini anataka na wakati gani basi. Usishangae akimpendekeza Sophia Simba..... Hahahaaaaa...!
Kujiuzulu kwa Rostam kumenipa hisia kwamba hiyo ni mbinu ya maksudi kumwondoa Lowasa katika Mlinganyo ili kutoa nafasi kwa chaguo tofauti lakini naamini pia chaguo hilo siyo Samwel Sita. Hata Magufuli pamoja na kauli zake za kujipendekeza kwa ****** siku za karibuni hazimpi nafasi ya kuungwa mkono na JK wala wapambe wake wa karibu.
6 ni oportunist anachoangalia ni kutimiza malengo yake kwa kutumia fursa zinazojitokeza. Ameona sasa hivi wananchi hawaitaki ccm ndo maana anatakakutumia hii nafasi kujipambanua na ccm ili aonekane yeye anafaa. subirini muone akimalizana na ccm atarudi kwa chadema ili kuwazima.Hasara asiyoijua ni kuwa watu hawaitaki ccm hata kama mgombea wake ni Dr. Slaa! Yeye anadhani anaweza kupata urais kupitia ccm. Ni mwoga na anataka kutumia nguvu ndogo ya ccm iliyobaki kujenga ccj. Anaogopa nini kuanza upya na ccj?sita ni heri akamua kuwa baridi au moto kuliko anavyobaki na uvuguvugu lake........haeleweki yupo upande gani? kwa nini anakosa msimamo?? atatangatanga mpaka lini?