Sitta: Nipeni miaka mitano tu

Sitta: Nipeni miaka mitano tu

Viwango na Kasi mkuu

Viwango vya kuwapigisha kura Wafu?

Viwango vya kuwapigisha kura wagonjwa waliokuwa Apollo India?

Viwango vya kuwapigisha kura Mahujaji waliokuwa Makka kuhiji!

Katika watia nia wote wa CCM, Sitta HAFAI KABISA. He should go to hell.
 
Kiwa kiongozi wa CDA imechukua muda gani mji wa Dodoma kukamilika? Miaka mitano ya nchi ataweza vipi? UFISADI wake DIA, BMK, Akiwa waziri wa Ujenzi alipiga kiasi kikubwa sana kwenye ujenzi wa barabara ya Nyanguge Musoma, Aliileta Richmond kwenye deal la ujenzi wa bomba la Mafuta Dar - Mwanza ...hadi pale akina Muro walipotishia kwenda mahakamani ... CCJ? Vipaza Sauti kwenye BMK, Escrow a/c ... Mke wa mwanausalama kule Iringa ?.... Huyu ni mnafiq category A na adui mkubwa wa maendeleo ya nchi yetu ... Peleka Museums
kama ukiniambia ni nani ndani ya CCM, mwenye uthubutu wa kubadilisha mfumo wa kiuongozi ni Sitta peke yake. Lakini bahati mbaya na sijui kama ndio kusudi la Mungu, Sitta amejichafua sana alipoingizwa mkenge kwenye swala la katiba. JK ni mtaalamu wa kutega watu na katika suala la katiba amefanikisha kumuingiza mkenge Sitta.

Sitta alitumiwa na chama chake katika suala la katiba maana waliamini ni mtu shujaa na shupavu ambae akiamua kukomalia jambo hamna wa kumuondosha hapo. Sasa anetumiwa tu kama toilet paper na sidhani kama waliomtega watampa walichomwahidi.

CCM kaeni pembeni sasa. Habari ya mjini ni UKAWA. UKAWA ndio jibu la umasikini tuliotengenezewa na mfumoccm.
 
Kuna shuguli nyingi tu Sitta unaweza kwenda kuzifanya lakini urais kwako ni BIG NO.
Umetuchefua sana watz kwenye lile bunge la katiba.
Kalime huko.
 
Huyu mzee hata aandamane bila nguo kura yangu hapati.
 
Tulikupa mtihani wa siku 60 BMK, ukafeli. Utafeli mara ngapo kwa miaka mi5? Wewe ni failure.
 
Mzee wa VIWANGO Jimbo lake mwenyewe la URAMBO limemshinda, Tz ataweza kuiongoza karibu watu mil 40?
 
Miongozo yote ya maadili alishaitoa kwenye katiba pendekezi, sasa hayo atasimamia vipi.!
 
Kwenye jimbo lake mwenyewe nanga inapaa itakuwa nchi hiyo katiba yenyewe anajua alichokifanya labda akagombee hukooo somalia.
 
Sitta hafai hata kwa chembe kwani amefanya huyu DHAIFU aondoke madarakani bila kuwaachia katiba aliowaahidi wananchi; huyu ndio alyemuingiza mkenge DHAIFU!!! Sio muadilifu kwani hata zile fedha za bunge la katiba zilizoachwa na UKAWA walipotoka jamaa alizikomalia na ndio kajengea mahekaru yake!!Hafai kabisa.
 
miaka 30 serikalini amefanya nini? akapumzike huko shamba.
 
Tangu aungane na nyoka wa makengeza kuharibu katiba ya wananchi huwa namwona hovyo kabisa, miaka mitano ya nini wakati hakufanya kitu, badala yake aliikalia bunge akashindwa kuzibiti wabunge ambao ni walanguzi, ameshnwa kushauri chama chake kujivua gamba. Huyu naye ni nyoka mwenye magamba makali tu.
 
sitta kweli kituko hapo anasema kawa kiongozi miaka 30 leo ana taka miaka 5 really
mambo uliyoshindwa achieve ndani ya miaka 30 leo uweze ndani ya miaka 5
 
haa haa kama amekuwa serikalini kwa muda wote tangu uhuru ataweza kwa muda wa miaka mitano? ndani ya ccm hakuna wa kuleta mabadiko kamwe. lao nimoja kinachoendelea ni ulaghai tu kwa watanzania.
Hata kama aliharibu kwny BMK, tunapaswa kumtendea haki kuwa anaweza kubadili mambo kwa muda mfupi, hata kwny BMK alifanya hivyo. Lakini pia ndiye spika aliyefanya bunge liwe na meno, na kuaminiwa na watz. Ni kiongozi mpambanaji kweli, pengine kuliko wote waliotangaza nia CCM!hahitaji miaka 10 kubadili mambo huyu!
 
Cardinal06 huyu hasafishiki.....unapoteza muda naona unatumia nguvu kubwa sana....zitunze, zitakusaidia baadae
 
Hebu nisaidieni wa jemeni,wagombea wote hawa kila mmoja anajigamba kukomesha rushwa wakati wote hawa ndo mawazir wetu si chini ya miaka 15 jamani,wameshindwa,sasa miaka 5 utamalizaje,ina maana walikuwa wana mfanyia makusudi jk kutekeleza haya ili jk aonekane ameshindwa,cha msingi hamuwez kukwepa mmesafir ktk boti moja kama kutoswa mtazama wote,sita amekuwa wazir tangu enzi ya miaka 70 leo anataka miaka 5 tu,duh
 
Mimi binafsi nilikuwa namkubali sana huyu mzee wangu japo si mwana ccm na nilitegemea angemrithi jk lakini baada ya bunge la katiba duuuu.........................................
 
Sitta akaombe kwanza misamaha kwa alio wakosea
 
Kwa mantiki hiyohiyo ya ushujaa wabjuthubutu kufanya mabaya ni wazi kuea hafai, kama alitumiwa na chama kwa maslahi ya wachache na yuko ndani ya chama kilichomtumia kukandamiza maoni ya watu, akienda ikulu atakandamiza zaidi watu hao milioni 45, haeatakuwa na matumaini kabisa chini ya sitta

Kitendo cja Sitta kukubsli kufuata matakwa ya chama chake na kutpilia mbali maoni ya wananchu kimemuharibia sana sifa yake. Km chama kiliweza kumweka mfukoni wakati wa BMK kitashindwaje kumbana akiwa rais asitekeleze mambo ya mabadiliko yatakayokiumiza chama? Kikwete mwenyewe alitishwa Bunge la katiba lilithibitisha hayona Ccm akanyea kuhusu latiba mpya itakuwa Sitta? Kwa sada Ccm imejipambanua lwamba htayari kwa mabadiliko yatakayokiumiza hata km yama manufaa kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom