You are very right, lakini hata hizo marks 10, ulizompa ni nyingi mno, kwa namna yeye Samuel Sitta, kwa namna anavyoliburuza bunge la katiba na kuamua yeye na wabunge wenzake wa CCM kuitia kapuni, Rasimu ya Tume ya Warioba, yenye maoni ya wananchi, huyo jamaa marks zinazomstahili ni 0.000001!Huyu hafai akipewa uongozi atakuwa dikiteta kutokuheshimu maoni ya wananchi na tabia ya kutojali wananchi ten percent ina mtosha
Kwa jinsi ninavyomuona Sitta wa BMK yumkuni nathubutu kumuita Sitta wa urais.
Pamoja na yote hayo mimi ninaswali moja tu!!!! What will happen if Mr.6 misses the opportunity of being nominated a candidate for presidential post as far as CCM as concerned!!!!!????
Inategemea na kijana mwenyewe kijana kama wewe mbuta bangi unafaida gani hata hivyo ukimuona kwa mazuri kama anayofanya shida iko wapi.Uzuri kwamba vijana tunamwona.
as far as CCM is concerned!!
Any way it will be some kind of Last Lost Hope!! And it seems that way!
Sitta has shoot himself on his own foot. He is now politically a walking dead man.
Ni ndoto za mchana Sitta kupita chekecheo la CC ya CCM.
CC ya CCM itapendekeza majina 5 TU ya wagombea urais kwenda NEC ya CCM kupigiwa kura, na jina la Sitta sio mojawapo.
Itakumbukwa kwamba 1995, Sittta alipoteza ubunge wa Urambo dhidi ya mgombea wa NCCR Mageuzi.
History has a tendency of repeating itself, nina bashiri, 2015 Sitta atapoteza tena jimbo la Urambo dhidi ya mgombea wa CDM. Na huo ndio utakuwa mwisho wa Sitta kwani ataungua kiharusi ambacho kitampeleka kaburini.
Na huo ndiyo utakuwa mshahara wake kwa kutuharibia KATIBA yetu Watanzania kwasabau ya egoism za kwake. No sympathy with him.
Kwa jinsi ninavyomuona Sitta wa BMK yumkuni nathubutu kumuita Sitta wa urais.
Huyu ndiyo Sitta wa urais:-
. Kwa mfano kauli ya Mark Mwandosya ya tar 15/09/2014 kuwa wananchi mkiandamana mtapigwa risasi na polisi na kwamba kama wanataka kuandamana wawatangulize viongozi waliowashawishi waandamane ili waanze kupigwa risasi wao.
Hivi polisi kazi yao ni ya kupiga risasi raia? Kuna siku hizo risasi zitawageukia wale wote wanaaona kuwa wapinzani wao ni wa kuuawa tu bila kujali mazingira wala ukweli wa upinzani wao. Tena laana itawaandama na hizo risasi watafyatuliana wenyewe kwa wenyewe, muda tu hayo yote tutayashuhudia
Amesema Mara nyingi sana. Alisema akiwa kwenye graduation kule Kagera na akasema siku mbili baadae akiwa mwanza na juzijuzi kasema ndani ya BMK.sitta hajawahi kuonesha nia ya kugombea urais hata siku moja binafsi sijawahi kumsikia pengine wewe kama unamsemea hayo.