UramboTabora
Member
- Sep 11, 2008
- 49
- 2
Kwa hili ninaimani kila mtanzania analijua ni viongozi wawili tu katika serikali ya jk waliogoma na kubishia malipo ya dowans na wakiwa kwenye ya baraza la mawaziri la sasa ambapo mwanzo walisemwa saana na viongozi wengine. haya sasa mme yaona kwa msimamo wao mpaka jk anaibuka nakuyakataa malipo hayo bila hao viongozi hao wawili inawezekana mida hii li cheki lingekua limeshatoka, ama amna semaje wezangu wana JF ? hapo chini ni maelezo ya raisi kuhusu sakata hilo JK aunga mkono Dowans isilipwe

kama ni mashujaa kama unavyowaita, si wahamie upinzani ili wakafanye upinzani wa kweli? wanacho taka ni cheap popularity period!
This is intellectual myopism.
No further comment is worth this space!
kama ni mashujaa kama unavyowaita, si wahamie upinzani ili wakafanye upinzani wa kweli? wanacho taka ni cheap popularity period!
kwa Mwakyembe sijui ila huyo Mr. 6 wako ana kashfa (zikiwemo za kweli za ukware ofisini), kutoa risit fake za dawa more than 4M ukitaka zaidi tafuta jamaa yako anayefanyakazi bunge! yule jamaa ni mfujaji hatari wa pesa za umma. kajaa upepo kupewa wizara ambayo haina mafungu. ukiona anapiga kelele sababu ni hiyo.. call it anything but that is the fact.
Nyantella usikurupuke ndugu yangu haimaanishi wao kuwepo ndani ya chama na serikali wanastahili kukubali kila ujinga wa wenzao na haimaanishi kuwa upinzani ndio unakataa kila kitu. Still Mwakyembe and Sitta they deserve kuitwa mashujaa kwa sasa na hapa walipotufungua macho na wanastahili kubaki huko kuwakemea la sivyo nchi inaweza kupelekwa pabaya
Ohh!!! Kiongozi wetu wa nchi anajitahidi kufuata njia za kina KOPA na Mzee YUSUF, na yawezekana amefuzu na kuwazidi hao tunaodhani wamebobea kwenye hizo anga za mipasho:first: CHADEMA, ndio maana JK juzi hutuba yake ilijaa vijembe na kebehi kwa upinzani, inani kumbusha enzi zile za hadija kopa na wenzake yaani MIPASHO.