Sitta atoboa siri ya CCJ

Ukikwa mtu wa haki na muwazi wengi watakuelewa.usibadilike kwa woga au pesa
 
Jamani mimi naona PC ya mshikaji inavaibrate!
 
Rudi shule mura hili jamvi sio saizi yako
 
kama huji kuandika vile!
 
Rudi shule mura hili jamvi sio saizi yako
Shule na uelewa ni vitu2 tofauti wasomi ndo wameifikisha nchi hapa tulipo hao wasomi wamefanya wengi tukose elimu kutosoma sikigezo cha kunifanya nisipambane hii ni jukwa la wapambanaji kanawe uso
 
jamani huyu jamaa yuko mbeya anatujuza yanayotokea kwenye mkutano wa magamba. Please be in context when reading.

Hata kama yuko Mbeya, ndo apotoshe kiswahili? Ajifunze kuripoti kwa lugha fasaha.
 
Hata kama yuko Mbeya, ndo apotoshe kiswahili? Ajifunze kuripoti kwa lugha fasaha.
Yaliyo tokeya mbeya tunduma wiki hii na silinde kuyamaliza 24/jul/2011hao wasomi hawajalipoti ingawa lilikuwa tukio kubwa limeisha bila kulipotiwa jf unafahamu tunduma walitaka kuisambalatisha?
 
<br />
<br />

I Love u.
Ur so real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…