mwanakijiji ni kama mtoto wa mkulima!, nawashauri wabadilishe hayo majina yasiyoendana na ukweli!
@foxy fanya mawasiliano na msajili wa vyama atakupa majibu sahihi zaidi!, umuulize pia kuhusu CCK!
nimekujibu hivyo kwa sababu najua kama umejua hizo linki unajua kisa kizima cha CCJ kupitia JF ila tu hukuamini (au ni uchokozi kwa mwanakijiji), CCJ ilijadiliwa sana hapa!
Sasa kama huoni mantiki kuwasiliana na msajili wa vyama basi wasiliana na mwenyekiti au katibu wa iliyokua ccj. Kama hutaki na unataka majibu kutoka kwa mwanakijiji tu basi mtumie PM!
FF naomba tuanzishe mchakato wa kuirejesha NRA ya Kighoma Malima (RIP), unasemaje?
Kuwa mwaanzilishi haina maana kuwa huwezi kukiasi chama..wako wapi akina Mabere Marando, Dr Alec Chemponda, Shibuda???
Kwa nini asimuulize Nape?nimekujibu hivyo kwa sababu najua kama umejua hizo linki unajua kisa kizima cha CCJ kupitia JF ila tu hukuamini (au ni uchokozi kwa mwanakijiji), CCJ ilijadiliwa sana hapa!Sasa kama huoni mantiki kuwasiliana na msajili wa vyama basi wasiliana na mwenyekiti au katibu wa iliyokua ccj. Kama hutaki na unataka majibu kutoka kwa mwanakijiji tu basi mtumie PM!
Nape na Samuel Sitta wanasema hizo pesa walikodishia ofisiItakuwa vizuri Mzee Mwanakijiji atueleze ile michango yetu alikuwa anahamasisha kuchangia CCJ, kupitia simu ya mkononi, ili kujiunga ulitakiwa utoe shilingi 500 kwa kila mwanachama, baada ya chama kufa vipi ile michango yetu!
Nape na Samuel Sitta wanasema hizo pesa walikodishia ofisi
Jifundishe kiswahili kwanza utatukana bure bilash.Ff naona inakuuma ufadhiri mkubwa uliotoa ccj ndio maana unaleta upupu hapa Jf baba yako napi yuko kujisafisha kwa magamba endeleni kucheza makida makida zenu always the end we tell truth.