Sitta apagawa na nguvu ya Lowassa

Sitta apagawa na nguvu ya Lowassa

Wimbo; wanawake na maendeleo tufanyekazi tusonge mbele oo! Hv nani aliyeimba huu wimbo, bado ni mwanamuziki? Ooh nimemkumbuka ni...........viti mhimu.

Hata yule wa Mbeya,Mwenye jina la pale kwa wahuni Mwa...lwa kama sikosei,kamzalisha wa kutosha naye wanamwita Dakta kama mzee mwenyewe,kye kye kye kye kye kye!!!
 
wanajamvi!!
Katika hali yakushangaza na yenye kuchekesha wazir wa afrika mashariki samweli sitta ameanza kuchanganyikiwa na nguvu ya mbunge wa monduli mh Lowassa
Kwenye gazet la leo la raia mwema limeandka sitta amshitaki lowassa na Rostam ccm,ukisoma habar zaid habar ile kwakweli kwa mtu mzma utagunduwa tu mzee huy ameanza kuchanganyikiwa kwan sababu za msingi anasema ni kutokana na matendo yao ya kifisadi na amesha andka barua kwa kweny chama chake ili waweze kuchukuliwa hatu,sasa najiuliza huyu mzee alikuw wp siku zote???au ameona kadri xiku zinapokwenda anazidi kubanwa mbavu kila kukicha,naje kuwashtaki rostam na lowassa kweny chama kwa sababu ambazo hazina msingi zitamletea unafuu wa yeye kuto endelea kubananishwa na nguvu ya lowassa?

Hakuna aliyebora hapo,ni bata na nguruwe wote wachafu tu. Ila mamvi ndiyo linguruwe kabisa,hata binadamu linakutafuna ukikaa vibaya.
 
Lowassa chizi tuu, mgonjwa anaangaika na ving'ora ataisikia nchi kupitia vyombo vya habari ni mtanzania juha na mjinga atakaye fikiria anaweza kuwa rais wa nchi hii
 
Unadhani walimpa hivihivi? mkono mtupu haulambwi! Nenda wewe na umaarufu wako uone kama utapewa uchifu hata kwenye kabila lako!

Ndugu yangu mkono huo huo uliopewa uchifu bado utaendelea kuungwa mkono.
 
Umeme umepanda sana bei kwa sababu Sitta akishirikiana na washirika wenzake walishinikiza TANESCO wasilipe shs. bilioni 60 tu kununua mitambo ya Richmond/Dowan na sasa baada ya Symbion kununua mitambo hiyo kwa zaidi ya bilioni 150 na pia TANESCO kuilipa Dowans shs. bilioni 110 kwenye kesi iliyotokana na Sitta et al kukataa mitambo hiyo isinunuliwe, sasa gharama zote hizi zinarudi kwa mlaji wa umeme kwa njia ya bei mbaya ya umeme inayotozwa na Symbion kwa mitambo ile ile iliyoletwa na Richmond. Sitta ni mhujumu uchumi mkubwa! Mnafiki wa kutupwa. HIVI HASARA HIZI MBONA WATETEZI WAKE HAMUMWULIZI???

wameweka nta masikion wala hakuelewi,mzee sitta ni mnafiki kuliko wazee wote africa mashariki
 
Hao machifu nani anawasikiliza sikuhizi, Nyerere aliwamaliza kwani wangeendelea kuwa na nguvu nchi hi ingekuwa na ukabila wa hali ya juu. sasa kama mnataka kuufufua semeni.

Ndugu yangu mkono huo huo uliopewa uchifu bado utaendelea kuungwa mkono.
 
Nijulishe hizo mbio alizoshiriki na kuvunja rekodi. Zilfanyika lini,wapi na metre ngapi?
Ndio spika wa bunge aliyeliongoza kwa umahiri, weledi na ufanisi mkubwa katika kujali maslahi mapana ya taifa.
Ndio maana akapewa jina, the speaker with speed and standard.

Spika mwenye kasi na viwango aliyewahi kutokea katika bunge la jamhuri.

Umenikumbusha kipindi kile ilikuwa hamna swali llilopita bila kujibiwa, sio kama sasa hivi waziri anaweza kuulizwa swali halafu Makinda akalikataa.
Kipindi cha Sitta ilikuwa hata uulizwe swali baya namna gani, lazima ujibu, kabla hata swali halijaishilia kuulizwa, utasikia sauti nene ya spika ikikatiza, "majibu mheshimiwa waziri!!??"
 
Hapa wapambe wa sita na lowasa mmeanza kutoana ngeo,wa january na membe na magufuri bado,mi yangu macho.
Mwisho wa siku magamba ni magamba tu.
 
ww mwenyew hapo unaumwa,unatembea tu lakin umeoza,kingne nikwamba unatumika badla yakujitumia!!

Andika hoja!!
nimekwambia Lowasa ni mgonjwa na anaonekana kuwa senile.
Mtetee kwa haya badala ya kuloloma eti ninaumwa, nimeoza, natumika, n.k. nonsense nyingi. Hiyo msg inaeleza lolote hapo. Au unataka wote tuseme Lowasa? Shit!

My brain can't allow such pressurerised stupidity. Unadhani afya ya Lowasa itakuwa nzuri kwa kuwa we umesema? Kwa nini upoteze muda kutetea kichaa? Are you also senile?
 
mi wala sibishan na wendawazimu,manake na mi ntaonekna mwenda wazimu,umekuw na hasira utadhan lowassa alishatembea na mama yako akamwacha!!jipange lowassa ndiye rais ajaye hata ubinuke ufurame,habar ya mjin ndio hyoo!!
 
yangu macho nasubiria hiyo 2015 nione hizo chopa zinavyo pishana angani!!
 
Mimi mashaka yapo kwenye hilo gazeti lililoandika hiyo habari yaani RAI hili hili la Rostam rafiki mkubwa wa Lowasa. Sichangii hapo wapambe wa Lowasa wanajichekesha wenyewe...

Tofautisha kati ya Rai la RA na Raia Mwema la akina Jenerali Ulimwengu
 
Umeme umepanda sana bei kwa sababu Sitta akishirikiana na washirika wenzake walishinikiza TANESCO wasilipe shs. bilioni 60 tu kununua mitambo ya Richmond/Dowan na sasa baada ya Symbion kununua mitambo hiyo kwa zaidi ya bilioni 150 na pia TANESCO kuilipa Dowans shs. bilioni 110 kwenye kesi iliyotokana na Sitta et al kukataa mitambo hiyo isinunuliwe, sasa gharama zote hizi zinarudi kwa mlaji wa umeme kwa njia ya bei mbaya ya umeme inayotozwa na Symbion kwa mitambo ile ile iliyoletwa na Richmond. Sitta ni mhujumu uchumi mkubwa! Mnafiki wa kutupwa. HIVI HASARA HIZI MBONA WATETEZI WAKE HAMUMWULIZI???

sitta na mwenzie mwakyembe ndio chanzo cha yote kwa kutafuta kwao sifa za kijinga mpk leo tunalipa umeme bei ya hatari na wakatuondoshea waziri mkuu wetu bora kabisa akaembali atalijua jiji edo boy atakapo chukua nchi 2015
 
mkuu uko sahihi kabs,huu msoto wote ni hao wawili ndo waku walaumu
 
mi wala sibishan na wendawazimu,manake na mi ntaonekna mwenda wazimu,umekuw na hasira utadhan lowassa alishatembea na mama yako akamwacha!!jipange lowassa ndiye rais ajaye hata ubinuke ufurame,habar ya mjin ndio hyoo!!

Unaandika kwa kutumia nini? Lugha gani ni rahisi kwako? Makosa kibao! Uliambiwa Jf ni sehemu ya kujifunza kuandika?
Haya unayoandika unadhani ndo sifa kubwa ya Lowasa? Mfahamu mtu wako usije kuwa unalawitiwa!

You must be the best stupid writer!
 
TZ Tusia wewe ni FARA na --------- pia Huna dira, Niambie alie Msafi ndani ya ccm!
 
Unaandika kwa kutumia nini? Lugha gani ni rahisi kwako? Makosa kibao! Uliambiwa Jf ni sehemu ya kujifunza kuandika?
Haya unayoandika unadhani ndo sifa kubwa ya Lowasa? Mfahamu mtu wako usije kuwa unalawitiwa!

You must be the best stupid writer!

mods hawa watu wa style unawafnyajeeeee??????
 
Back
Top Bottom