Sitta apagawa na nguvu ya Lowassa

Sitta apagawa na nguvu ya Lowassa

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
wanajamvi!!
Katika hali yakushangaza na yenye kuchekesha wazir wa afrika mashariki samweli sitta ameanza kuchanganyikiwa na nguvu ya mbunge wa monduli mh Lowassa
Kwenye gazet la leo la raia mwema limeandka sitta amshitaki lowassa na Rostam ccm,ukisoma habar zaid habar ile kwakweli kwa mtu mzma utagunduwa tu mzee huy ameanza kuchanganyikiwa kwan sababu za msingi anasema ni kutokana na matendo yao ya kifisadi na amesha andka barua kwa kweny chama chake ili waweze kuchukuliwa hatu,sasa najiuliza huyu mzee alikuw wp siku zote???au ameona kadri xiku zinapokwenda anazidi kubanwa mbavu kila kukicha,naje kuwashtaki rostam na lowassa kweny chama kwa sababu ambazo hazina msingi zitamletea unafuu wa yeye kuto endelea kubananishwa na nguvu ya lowassa?
 
hilo lizee karibia linachanganyikiwa,lisameheni tu bure!!kila akisikia jina la lowassa kitu kinagonga.......@@.
 
kweli nguvu ya lowassa ni tishio,ila huyu mzee sitta namfahamu ni muoga sna,atakuwa anakimbia kivuli chake
 
Tuseme tu ukweli, katika uzalendo ndani ya Tanzania Lowasa hawezi kusimama na Sita hata kidogo. Ni afadhali CCM wamsimamishe Sita kugombea Urais kuliko Lowasa angalau wananchi watamuelewa...
 
mkuu hapo umekosea,huwez hata ciku moja kumlinganisha lowasa na sitta,ni sawa na kulinganisha kichuguu na mlima,mahali lowassa anapita sitta hafuati maisha
 
Mkuu, Lowasa atamtisha Sita kwa rushwa tu, lakini si kwa uzalendo, coz amenunua viongozi wengi wa CCM kwa hela za ufisadi atamtisha Sita lakini akienda kwa njia za haki hata katika jimbo lake akigombea uenyekiti wa kijiji hapati, huo ndo ukweli ingawa mchungu..
 
mkuu sitta unampima kwa lipi?manake naye ni mnafiki tu hana uzalendo wwote,anapiga kelele kwa sabu ameshazidiwa,kama ni ufisad hata yey mwenyew ni fisad,kama unakumbuka hajawahi kujib tuhuma za kujenga ile ofis jimbn mwako,kama unakumbuka alituhumiwa kuipa serikal bili kubwa ya madawa kwny dispensary ya hawara yake,
 
Mimi mashaka yapo kwenye hilo gazeti lililoandika hiyo habari yaani RAI hili hili la Rostam rafiki mkubwa wa Lowasa. Sichangii hapo wapambe wa Lowasa wanajichekesha wenyewe...
 
Kumbe mnajua kuwa hawa wote VIBAKA halafu mko hapa mnawapigia debe wawe marais?
HATUWATAKI WOTE!

CHADEMA Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
ndo tatzo la kunywa gongo,umeshindwa kutofautisha raia mwema na rai,punguza gongo
 
Kumbe mnajua kuwa hawa wote VIBAKA halafu mko hapa mnawapigia debe wawe marais?
HATUWATAKI WOTE!

CHADEMA Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

vibaka ni mbowe na slaa aka babu gongo waliopita na wake za watu
 
Lowassa and co ni a HURRICANE! Huwezi kuwazuia swala ni aidha ukimbie au chimba shimo ujifukie ila kupita lazma ipite tu.
 
Mimi mashaka yapo kwenye hilo gazeti lililoandika hiyo habari yaani RAI hili hili la Rostam rafiki mkubwa wa Lowasa. Sichangii hapo wapambe wa Lowasa wanajichekesha wenyewe...

mkuu habar hii imeandkwa na raia mwema,siyo rai
 
Nimeisoma habari hiyo na kushituka kidogo. Sasa Mzee Sitta anawashitaki akina Lowasa na Rostam yeye kama nani? I thought hawa watu ''walishashtakiwa'' kitambo sana na akina nape. Kama kweli 6 anao kweli huo ushahidi, si aupeleke TAKUKURU?

Stress za Urais tu hizo...
 
wanajamvi!!
Katika hali yakushangaza na yenye kuchekesha wazir wa afrika mashariki samweli sitta ameanza kuchanganyikiwa na nguvu ya mbunge wa monduli mh Lowassa
Kwenye gazet la leo la raia mwema limeandka sitta amshitaki lowassa na Rostam ccm,ukisoma habar zaid habar ile kwakweli kwa mtu mzma utagunduwa tu mzee huy ameanza kuchanganyikiwa kwan sababu za msingi anasema ni kutokana na matendo yao ya kifisadi na amesha andka barua kwa kweny chama chake ili waweze kuchukuliwa hatu,sasa najiuliza huyu mzee alikuw wp siku zote???au ameona kadri xiku zinapokwenda anazidi kubanwa mbavu kila kukicha,naje kuwashtaki rostam na lowassa kweny chama kwa sababu ambazo hazina msingi zitamletea unafuu wa yeye kuto endelea kubananishwa na nguvu ya lowassa?

hilo lizee karibia linachanganyikiwa,lisameheni tu bure!!kila akisikia jina la lowassa kitu kinagonga.......@@.

kweli nguvu ya lowassa ni tishio,ila huyu mzee sitta namfahamu ni muoga sna,atakuwa anakimbia kivuli chake

Lowassa and co ni a HURRICANE! Huwezi kuwazuia swala ni aidha ukimbie au chimba shimo ujifukie ila kupita lazma ipite tu.

Haya yote yanawatoka kwa akili zenu au kwa kulipwa? Nahisi ni dhana kwamba baadaye kichaa huyu atawakumbuka kwa allowance. Munamuita Sitta mzee, Lowasa ni kijana wa nchi gani? Lowasa hata afya ni mbovu.

Hisia yangu ni kwamba wote hawafai hata kuhitaji Urais, ingawa Lowasa anaonekana kama anakuwa senile.
 
Back
Top Bottom