anawajibu UVCCM?
Sitta abaki huko huko ili wapigwe staili inayoitwa nje ndani!nadhani sitta ni mzalendo ila yupo in a wrong party. ccm hawawapendi watu wakweli. anafaa aje chadema tupambane na ccm
Dr wa ukweli tunakusikiliza wewe sema neno tu!
Kwesha habari yake!he!
huyu mchungaji wasapila mbona amevaa shati la ccm?
source: ITV