Sitta ampinga Ngeleja malipo fidia Dowans

Kwa maelezo haya, ina maana Sita alipanga kuachia ngazi kama baraza la mawaziri lingebariki malipo kwa Dowans. Sasa Mheshimiwa labda akaona asiitishe kikao kujadili suala hilo kwani hiyo ingempa credit mzee Sita
sita akatafute watu wenye mwenendo kama wake sisi hatumtaki tumemfukuza uspika na kilichobaki ni kumfukuza na uwaziri bora ajitoe mwenyewe
 
Kwa maelezo haya, ina maana Sita alipanga kuachia ngazi kama baraza la mawaziri lingebariki malipo kwa Dowans. Sasa Mheshimiwa labda akaona asiitishe kikao kujadili suala hilo kwani hiyo ingempa credit mzee Sita
Umejuaje hii?
 
Back
Top Bottom