OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
* Unaongozwa na watoto wa Sitta
* Paul Makonda ahusishwa
Katika hali inayoonekana kuzidiwa na kulazimisha mambo ili kupaisha juu chati ya Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samweli Sitta anayetajwa tajwa kutaka kumrithi Rais Kikwete, watoto wake wameingia kwenye kibarua kigumu cha kuandaa mtandao wa kumpigia kura fake Sitta.
Watoto hao wa Mhe. Sitta waitwao John Sitta na Benjamin Sitta wanaoishi Washington DC, Marekani wameamua kufungua blog inayoitwa KIPIMA JOTO na kuweka post mbili ambazo watu wamekuwa wakizipigia kura za kimkakati za kupaisha juu mtandao wa Sitta katika mbio za urais.
Katika mtandao huo wameweka post mbili ambapo post ya kwanza inayoonekana inauliza "who is the female president do we need?" iliyowekwa siku ya Jumatatu ya April 6, 2015; Na post ya pili iliyowekwa siku ya Ijumaa ya April 3, 2015 inauliza "Ni nani Rais ajaye wa Tanzania?".
Familia hiyo ya Sitta inayoongozwa na mtoto wake aitwaye John Sitta amekuwa akiwatumia ujumbe marafiki zake mbalimbali kuwaambia wampigie kura baba yake ( Waziri Sitta) kura kwa wingi na wasambaze ujumbe huo kwa wenzao ili wampigie kura Sitta tu na kuachana na wengine.
Tendo lingine linalofanywa na John (mtoto wa Sitta) ni kupunguza kura za wagombea wengineo ili kumfanya baba yake Samwel Sitta aonekana anakubalika zaidi kumrithi Rais Kikwete mwaka huu.
John amekuwa akiifanya kazi hiyo kwa kushirikiana na ndugu yake aitwaye Benjamin Sitta kusambaza ujumbe kwa marafiki zao waliopo nchi za nje.
Pia wamekuwa wakimtumia zaidi Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda kusambaza taarifa za kumpigia kura Sitta kwa watu mbalimbali waliopo Tanzania.
Mbaya zaidi watu hawa (John, Benjamin na Paul Makonda) wamekuwa wakimchafua Rais Kikwete kwa kuwaambia kuwa wampigie kura kwa wingi Sitta ili wammalize JK ambaye anaonekana dhahiri kutaka kumrithisha Urais Ndugu yake aitwaye Bernard Membe.
Kampeni yao hiyo wameipa jina la "Mpigie kura Sitta upinge utawala wa kisultan wa JK".
Watu hao wamekuwa akiendesha siasa hizi chafu za kuiba kura za wengine na kuendesha zoezi la kumchafua Rais Kikwete.
Mytake: Mhe. Sitta na familia yake pamoja na genge lao waelewe Urais hautafutwi kwa kulazimishwa wala kumchafua mkuu wa nchi. Rais hupangwa na Mungu.