Sitta afunguka kuhusu Bandari

Ana hoja nzito. Kwa ukweli kukurupuka kuna adha na kiwango fulani cha kusigina haki.

Jinsi ya kuwarudishia angalau haki na utu wao walioathirika ni vigumu.

Ni sawa na kuvua nguo wakati wa kuoga mtoni halafu kichaa akakimbia na nguo zako.
 
Hakuzungumzia kale kajumba ka spika kule Urambo? na amekwisha hama kwenye nyumba ya spika kweli huyu ndugu yangu?
 
Sitta kwa nini hutaki kupumzika?umesahau nini ujanani?kama madudu yalitokea kabla,wewe hukuyajua?hatua gani ulichukua?
 
Kaa kimya asee, kila kitu kilikuwa upande wako enzi hizo ukapotezea. Pilau iko kwa jirani wewe unakatakata kachumbari nani kakuomba ufanye hayo?
 
Hata kama hawahusiki kwani rais hawezi kuvunja na kuwekawatu anaowaone yeye ni sahihi.
 
Yawezekana ana mapungufu yake lakn kama kweli bodi ilikaa kikao kimoja tu wameonewa
 
Ametoa maelekezo yake na maoni yake jinsi ilivyokuwa na ni muhimu yakaheshimiwa
 
mzee alisema siasa basi, apumzike mzee wetu, awaachie wengine nao watumbue....
 
Reactions: MTK
kwa mara ya mwisho nakuunga mkono samuel kwenye hili , ila bifu la kututapeli richmond na katiba mpya liko palepale .
 
Sina haja hata ya kusoma yote yaani bodi imeundwa isimamie tpa alafu madudu yote yanayofanyika wao kimya aiseeee kweli 6 anazeeka vibaya si atulie tu aaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…