Sitosahau

Sitosahau

Joined
Oct 12, 2012
Posts
52
Reaction score
10
Wanajf hivi kuna mtu ambaye kunaswala hatokaa halisahau katika maisha yake tuyaweke hapa jamvini!!
 
Acha kabisa. Mi nilifika form 2 sijatahiriwa. Siku moja nikakorofisha na mshikaji mmoja. Shule yetu ilikuwa mchanganyiko bana, jamaa akaanza kutangaza kwa sauti ya juu kuliko zote."ndanda ana gov.......". Du yaani nilisikia noma siwezi sahau. Ilikuwa jioni jioni hivi kukiwa kimyaaaaa, mademu wote walisikia. Halafu nilikuwa nshatokea mademu kama 5 na wote wamekubali ila kuwala ilikuwa mtihani, si wataona mkono wa sweta! Mbona nilisingizia kufiwa, nikaenda home kutahiri.
 
Hahahahaaaaa jamaa alikusaidia!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
daah huyo jamaa ni noma sana ila alikusaidia asingesema mpaka sasa ungekuanalo kaka shukulu mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom