Sitosahau siku niliyo pigwa sound na Aneth

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
707
Reaction score
751
Ilikua ni mwaka jana mwezi wa saba, nilipata kupanga chumba maeneo fulani hivi tulivu. Basi katika mitaa ile kuna manzi mmoja alitokea kunipenda sana japo mimi nilikua sina hisia naye kabisa yaani. Hisia zangu zote zilikua kwa rafiki yake ambaye ni Zulfa toto la kimakonde.

Basi kila nikikutana na yule manzi ananiangalia hatareee, alafu mshikaji nakaza yaani kumbe yule mtoto alizimika sana kwangu hivyo alitamani nimpige mti. Baada ya kupita, kama, mwezi huku mshikaji nimekaza, manzi aliamua kuanza kuniwinda.

Basi Siku moja mida ya jioni kulikua na kigiza giza hivi nilikua narudi zangu geto toka mihangaikoni, manzi akanisimamisha akaomba kuongozana na mimi, nikamwambia haina noma.

Basi tulivofika kwenye vichochoro demu akaanza kunishukia mistari, unajua we mkaka nimetokea kukupenda usiku silali kwaajili yako, nakuwaza tu wewe naomba uwe mpenzi wangu nakupenda sana. Mjomba nilikua nimekaa kimya tu mawazo yote kwa zulfa. Naomba nipe jibu kama umenikubalia mtoto aliniuliza, nikamwambia nipe muda nitakujibu.

Siku zilivyo zidi kwenda mtoto alizidi kuwa na mawazo sana, nilimwonea huruma sana ilinibidi nianze kwenda angalau kukaa naye ili nimtoe mawazo. Ila swala la kupiga, moyo wangu uligoma kabisa maana nilikuwa na wapenzi wengi mitaa ile na wengine walikua rafiki zake. Hivyo kama ningepiga ningeweza kujulikana haraka sana. Siku moja wazo la kumpiga mti lili nijia ili nimtoe mawazo lakini machare yakanicheza nikaahirisha.Basi siku zilizidi kwenda wala jibu sikumpa mpaka nilipo hama mitaa ile.
 
Jinsi udomo zege ulivyokukosesha demu

My life is mine to remember
 
Kila wiki hakikisha unaandika story walau moja apa Jf i hop baada ya siku kadhaa utakua bomba sana zaid ya hapa
 
una sauti mbaya mpaka nimeumia masikio wakati nasoma😎😎😎
 
Jikinge na uwakinge na wengine: tumia sabuni na unawe na maji yanayotililika
 
Mkuu si kwa ubaya lakini kuandika/kusimulia stori sio fani yako kabisa.
Sipo kwaajili ya kusimulia story, nimeandika kisa kilicho nitokea. Wala sio msimuliaji wa story kama unavyo dhani
 
Back
Top Bottom