Sitosahau nilivyoumbuka airport

Sitosahau nilivyoumbuka airport

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,819
Reaction score
3,088
Kwa kweli sitosahau siku hii nilivyoumbuka julias nyerere international airport

HIi siku kuna watu walinitazama kama gaid wengine kama punda mbeba ngada

Maana nilifika vizur had getin picha linaanza kinaitajika kitambulisho chochote niweze kuingia sikua nacho nikarudisha mara nikaambiwa niwahi huyo ninaenda kuonana nae atapaa sio muda

nikapanga folen kukaguliwa dah alarm ikalia kumbe mfukon nilikua nina mashiling coin mashine inadetect

Nikaambiwa rud panga upya folen huku hela zipo kwenye sufulia sijui besen lilw ila kurud tena mashine ikalia tena daah mkanda ulikua na chuma nikaambiwa rud tena nikapanga upya kufika kwenye mashine ikaanza kulia tena daah watu wakageuka usalama wa taifa wakakaa tayar labda nina bomu au madawa nikaambiwa vua mkanda kapange upya folen kufika kwenye mashine ikalia tena daah kiatu nilichovaa kina kichuma nikaambiwa ebu kijana ingia huku nikavuliwa kila kitu wakakuta sina kitu nikaachiwa niliumbuka sana

Ukisafiri kupitia airport usibebe mashilingi au vitu vyenye asili ya chuma
 
Ya kawaida hayo sema ulisaidiwa sawa ibidi uwapongeze maafisa
 
Kwani hukuambuwa vua viatu,mkanda,toa simu,coins,laptop? Hata alama hukuziona? Wenzio hukuwaona wakivua mikanda na bitu kama hivyo? Hii chai.
 
Huyu anazingua tu. Kwani hata abiria wenzie hakuwaona wanafanya nini?
Sikuona na yule mama alikua ananirudisha na kunipa maelekezo toa kila kitu sasa najisau kama nina coin mfuko wa nyuma mkanda kiatu na nk
 
Mbona hamna ulipoumbuka. Au kuumbuka Kuna maana nyingine tena weeeiy🤔
Kuumbuka ni watu kunishangaa maana alarm ilikua inapiga mlio kwangu tu image unarudisha upange folen ya watu 20 zaid ya mara nne
 
Kwa kweli sitosahau siku hii nilivyoumbuka julias nyerere international airport

HIi siku kuna watu walinitazama kama gaid wengine kama punda mbeba ngada

Maana nilifika vizur had getin picha linaanza kinaitajika kitambulisho chochote niweze kuingia sikua nacho nikarudisha mara nikaambiwa niwahi huyo ninaenda kuonana nae atapaa sio muda

nikapanga folen kukaguliwa dah alarm ikalia kumbe mfukon nilikua nina mashiling coin mashine inadetect

Nikaambiwa rud panga upya folen huku hela zipo kwenye sufulia sijui besen lilw ila kurud tena mashine ikalia tena daah mkanda ulikua na chuma nikaambiwa rud tena nikapanga upya kufika kwenye mashine ikaanza kulia tena daah watu wakageuka usalama wa taifa wakakaa tayar labda nina bomu au madawa nikaambiwa vua mkanda kapange upya folen kufika kwenye mashine ikalia tena daah kiatu nilichovaa kina kichuma nikaambiwa ebu kijana ingia huku nikavuliwa kila kitu wakakuta sina kitu nikaachiwa niliumbuka sana

Ukisafiri kupitia airport usibebe mashilingi au vitu vyenye asili ya chuma
Mbona hakuna baya lolote hapo ni ww tu wenge lako
 
Hahaha infacts hata Hujaumbuka.
Ni normal Procedures tu hizo buddah
Kusachiwa kwa mikono mpaka kwenye makende huku nimetanua mikono ilikua kivutio na mimi kilikua kituko pekee mbele za watu huku nimezungukwa na wanausalama
 
mbona kama unatupanga.

Miaka ya nyuma kuna dada uswahilini alituambia alipanda ndege kwenda kwao alafu ule mkoa kipindi hicho kiwanja bado.
Alafu alipotuchosha zaidi kusema kibaka alipora cheni yake wakati ndege inaruka.

Hii sitasahau maishani kwa boko lile.
 
Kwa kweli sitosahau siku hii nilivyoumbuka julias nyerere international airport

HIi siku kuna watu walinitazama kama gaid wengine kama punda mbeba ngada

Maana nilifika vizur had getin picha linaanza kinaitajika kitambulisho chochote niweze kuingia sikua nacho nikarudisha mara nikaambiwa niwahi huyo ninaenda kuonana nae atapaa sio muda

nikapanga folen kukaguliwa dah alarm ikalia kumbe mfukon nilikua nina mashiling coin mashine inadetect

Nikaambiwa rud panga upya folen huku hela zipo kwenye sufulia sijui besen lilw ila kurud tena mashine ikalia tena daah mkanda ulikua na chuma nikaambiwa rud tena nikapanga upya kufika kwenye mashine ikaanza kulia tena daah watu wakageuka usalama wa taifa wakakaa tayar labda nina bomu au madawa nikaambiwa vua mkanda kapange upya folen kufika kwenye mashine ikalia tena daah kiatu nilichovaa kina kichuma nikaambiwa ebu kijana ingia huku nikavuliwa kila kitu wakakuta sina kitu nikaachiwa niliumbuka sana

Ukisafiri kupitia airport usibebe mashilingi au vitu vyenye asili ya chuma
Ulikuwa hufahamu utaratibu, hivyo vyote ungeweza kuviweka kwenye tenga, ukapita kirahisi sana.

Kama simu uliweka kwenye tenga, basi ungeweka pamoja na hivyo vyote!
 
Wao walishindwa nini kukuambia mapema?
Unatakiwa ufanye utafiti kabla ya kutumia kitu chochote kipya sio unajitokea tu nyumbani
Hata ukisafiri nje ya nchi lazima ujue ni nini kinakubalika huko.
Kuna Nchi haziruhusi kuingia na dawa yoyote bila cheti cha daktari lakini pia kitu chochote cha kula hata, viungo, nk nk haviruhusiwi
Pia kwenye hand luggage huruhusiwi kubeba Perfume ya zaidi ya 100mils, Wembe, Mkasi nk nk,
Ndege ndogo hazikubali mabegi magumu (masanduku) zinataka mabegi malaini (soft bags nk nk nk
 
Kwa kweli sitosahau siku hii nilivyoumbuka julias nyerere international airport

HIi siku kuna watu walinitazama kama gaid wengine kama punda mbeba ngada

Maana nilifika vizur had getin picha linaanza kinaitajika kitambulisho chochote niweze kuingia sikua nacho nikarudisha mara nikaambiwa niwahi huyo ninaenda kuonana nae atapaa sio muda

nikapanga folen kukaguliwa dah alarm ikalia kumbe mfukon nilikua nina mashiling coin mashine inadetect

Nikaambiwa rud panga upya folen huku hela zipo kwenye sufulia sijui besen lilw ila kurud tena mashine ikalia tena daah mkanda ulikua na chuma nikaambiwa rud tena nikapanga upya kufika kwenye mashine ikaanza kulia tena daah watu wakageuka usalama wa taifa wakakaa tayar labda nina bomu au madawa nikaambiwa vua mkanda kapange upya folen kufika kwenye mashine ikalia tena daah kiatu nilichovaa kina kichuma nikaambiwa ebu kijana ingia huku nikavuliwa kila kitu wakakuta sina kitu nikaachiwa niliumbuka sana

Ukisafiri kupitia airport usibebe mashilingi au vitu vyenye asili ya chuma
Asante kwa elimu hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom