Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Nimenote vitu fulani kwenye uandishi wako nimejiridhisha pasipo shaka kuwa wewe ni MMATENGO. Nyinyi watu huwa ni wazinzi mno na hamuwagi na mke mmoja hata mkiwa wakristo, halafu tabia hii mmesingizia jirani zenu wangoni wastaarabu kabisa.
 
Kwahio kwa maana hio ulifiirwa kmamamae,,,hamna mirinda kabisa huko backstage!
 
Dah hatari sana hii adhabu imezidi nyie wanaume mna roho ngumu sana
Adhabu ni mbaya sana wala sikubaliani nayo ila najiuliza kwanini mwanaume utembee na mke wa mtu mbona wanawake ambao hawako kwenye ndoa wapo wengi. Si sahihi kabisa kutembea na mke wa mtu ni basi tu watu hawataki kuliona hili na kuona ni jambo la kawaida
 
He he he he he he he!!!!! Nimecheka mimi
 
" wakati natoka nikapita mlango wa nyuma nikaenda dirishani nikamwambia ampigie simu mshua wake".... Kwani ulifumaniwa na babaake bidada or mume wake?
 
Najua hakuna hata mmoja wenu atakaekiri kuwa alitatuliwa
 
Ila mkuu hata nyie huwa tuna wafunania tuna wasamehe.
Na nyie wanaume huwa hamna haya unaweza kumkula mke wa jamaa yako au rafiki Bila wasiwasi hivi huwa mnawazaga nini, kweli kumoaneni tu. Anayefanywa hivo na umalaya unaisha kabisa
 
Dah aiseee
Nimecheka aa fala aiseeee dah
 
ushaliwaa nnyaaaaa muraa,na koni ukalambaaa.....amakweli we kambale
 
Sasa wewe ndo ulipaswa uwe mleta mada, halafu aliyeileta alipaswa kuwa mchangiaji.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…