Sitosahau mkasa huu

Sitosahau mkasa huu

Hii michezo uombe isikukute,
Kwa watu wanaofanya afya wanajua shughuli yake m nshatumia mara2 yan ile ushakula tunda alafu ndo unamwita mtu kupima anagoma ni msala Ila ngoja nisimulie kisa kimoja ujue ukimwi unaogopwa sana aise hata kama ulitumia kinga au ulipima Jana ukiitwa upime tena kimoyo lazima kistuke.
Kuna demu nlikuwa napiga kila nikimgusia tupime analeta sabab aha nkawanatumia ndomu siku moja nikapewa mcongo ndo ilikuwa Mara ya kwanza so Vumb+ndomu ikawa sio kitoto ila sababu nlikuwa kitengo cha HIV nikawa lazima nitumie ndomu sabab ya ule uoga ile siku tulibadili kama pakti 3 ndo kupata goli na show ilianza saa4 kama hiv mpaka saa6 hadi saa10 unatafuta goli moja toka ikipasuka unabadili ndomu ,kesho yake nikamwita demu job akasingizia anaumwa Mara nampigia ananiambia nimesafiri nipo Dom ,kwa vile nilitumia ndomu nikarelax miez ikapita nikipata show na demu mpya napima nipo fresh nakula tu matunda siku ya siku nkatumwa kituo kingine kikazi nikapanda na yule manzi kwenye hiace tunasalimiana hi nyingi m nipo na wenzangu wa kazin kumbe tunaelekea sehemu moja tukashuka tukatengana sijui ye alienda wap si tukaenda kupata breakfast kwanza ndo tukaingia kile kituo cha afya nimekaa tunaendelea na kazi ugenini kwenye ile office coz kazi ilikuwa kuhusu HIV Viral Loads bhana yule manzi huyo kaingia kufata dawa kwanza alistuka balaa kunikuta pale maana anajua kituo nnachofanyia kazi alitaman kugeuka jamaa wakituo kile hawajui kama namfahamu so wakawa wanaendelea normal kumuandikisha na makadi m jasho moyo ulipanda speed nikawaachia washkaj kazi nikatoka nje kwanza mwili uliishiwa nguvu baadae amesepa nikakimbilia kupima ghetto nipo fresh japo nimepima Mara nyingi katikat kabla ya hyo siku ila bado nlitetemeka kumbe bibie anachukulia dawa nje ya mji.
Duuuuuhhh si hatari hii mzee mwenzangu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Habarin wanaJF leo ningependa kushea na nyinyi haka kamkasa kalikonikuta nikiwa chuo ikiwa ni semister tu ya kwanza intake ya November 2019, sitopenda kutaja chuo wala fani nnayosomea.

Eh bhana sikia tu kwa jirani usiombe yakukute ilikuwa hivi

Nikiwa chuo semister ya kwanza ilitokea kuzoeana na girl mmoja hivi white and tall mzuri yani hana kasoro so design mm ni mtu sana wa watu yani nna ile charming personality so easy sana kutozoeana na mtu yeyote.

Si unajua tena ile group discussion huku na maneno matam matam binti akatokea kunielewa SIKUMTONGOZA ila mazoea tu ya karibu design akahisi kuwa namkubali kinoma noma ingawa me nilitaka tu normal friend coz tiari nna mpenz wangu wa muda mrefu.

Daaah basi bwana kwenye maongezi maongezi nkafanya tu kuchomekea unaonaje siku moja ukaja geto ile kunisalimia kama sehemu ya kufahamiana zaidi. Aisee nkashangaa napata BIG YES ya faster bila kupepesa macho, kamoyo kakashtuka huku nikajiuliza mbona imekua sooo simple ila nkabullshit labda kwa kuwa kaonesha kunielewa sana.

Kama unavyojua demu akishasema anakuja geto No kulaza damu, basi siku ikawadia, mtoto nikampga chips kuku juice huku akila movie taratibu na akionesha kuwa na furaha sana moyoni nkajihisi mwenye bahati na nyota ya kupendwa.

Tukala tukashiba, kila nikimuangalia alivyoumbika ndivyo damu yangu ilizidi kuwa ya moto nkaanza uchokoz binti akaelewa lakini machale yakanicheza kabla hatujavua nguo nkamuomba tupime kwanza kwasababu huwa nna vipimo ndan coz mm sio mpenz wa kutumia CONDOM.

Akasita kwanza huku akiniuliza what's happen nkimkuta anao nkacheka kwanz nkimjibu kimasihara haiwez tokea akaniulza tena ndo imetokea sasa ilibid ntabasam huku nkmjibu ntakupa ushaur upme tena baada ya miez mi3.

Wakat tunapma na stor mbili tatu akaniangalia uson huku akiniambia steve i came to shape your life nnaweza kuwa mtu sahh kwako au sio sahh,,,me hapo akili inawaza sex tu nkajibu No no no baby you are the right person to me right Love you so much huku nisielew nn anamaansha.

Baada ya dk 2 tu majibu yakasoma yote negative basi nikawa na furaha kinoma sikutaka kulaza damu ingawa yeye nilimuona kama mtu mwenye kushangaa flan hivi mimi sikujali midadi ilikuwa ishanipanda.

Nkampa foreplay ya kufa mtu mpaka hakawa hajiwez lakin ikawa kila nktaka kuingiza binti alikuwa anakataa ilibidi nitumie nguvu za uanaume kulazimisha sana had akakubal,,mapenz yalikuwa mubashara.

Tulimalza kigiza kikiwa kishaingia huku moyon nkijutia kumsaliti mpenz wangu na yy kuonekana mwenye furaha sana nkamkodia boda na mm siku hyo nilikua naingia job night shift.

Nkafika kazn nkisimulia washkaj zang namna nilvotoka kupga shoo kimzah mzah bas asubuh nkarud zang geto nkasema ngoja nipge mausaf kwanz mana niliacha apaelewek.

GHAFLA katka hal ya butwaa nashangaa kipmo kimoja hakionekan tulivopma kuangalia vizur nakikuta kweny pakt ya kipimo ile nakitoa nakutana na positive result kikiwa kimechora 2 lines Aisee nilihis kufa kufa kuangalia kile kingine kilichopo mezan ni cha negative kimochora 1 line.

Nilihisi kuharisha muda huo huku nikijiuliza maswali mengi kichwani hiki cha positive kitakuwa cha nani, Daah aisee nilikuwa na wakati mgumu sana.

Ikabidi muda huo huo nijipe ujasiri nipime kwa kutumia UNI GOLD kipimo kikubwa cha HIV namshukuru MUNGU majibu yangu yalikuwa Negative hivyo nikajua fika haya ya positive yatakuwa ya yule dada ndio maana alionekana kuwa na mashaka na kugoma wakat wa sex niliiilaumu sana nafsi yangu kwa kutokuwa mvumilivu kusoma majibu.

Nikapata akili ya kumpigia sim lakini hakupatkan hofu ikizidi kutanda ndani yangu, kwa kuwa nilikuwa nna kaelimu kuhusu HIV ikabidi nijitose muda huo huo angaza nkapata dawa nitumie mwezi mmoja ili kuzuia maambukizi.

Ndugu yangu ARV zisikie tu zinapelekesha mbayaaaa nilimuomba MUNGU sana aniepushe na janga hili huku nikifunga na kuomba kuungama dhamb zangu.

Siku ya tatu zile dawa zilionekana kudhoofisha afya yangu, nikasikia sauti ndani yangu ikiniambia niziache nkapata ujasiri mkubwa sana na kumwamini MUNGU nkaenda kutupa choon kopo zima.

Nilikuwa mtu wa ibada sana mpaka marafiki zangu wakinitania kuwa nimeokoka, niliendelea kula vizuri na kupiga sana tizi.

Chuo kilipofunguliwa nikapata taarifa kwa marafiki zake yule dada aliumwa sana mpaka kaamua kuahirisha mwaka.

Daah moyon nilikuwa nikihofia sana afya yangu kutokana na malengo makubwa niliyokwisha kujiwekea lakini Mungu alinipa amani na kujipa moyo I WILL BE FINE mwendo ukiwa ule ule IBADA, MLO KAMILI NA MAZOEZI.

Kitaalam wanasema inabidi ipite miez mitatu ndo upime tena mimi kla mwezi nikawa napima na nkashkuru sana MUNGU baada ya miez mi3 majibu yakawa safiiiii kabsaaa.

Eh bhan ee huo ndo mkasa wangu TUACHE TAMAA MAZEE KUWA NA MPENZ MMOJA MWAMINIFU TUPENDE IBADA.

By steve!!
Mkuu ulikuwa sekyuriti gadi nini, mana umetoka kula tunda kimasiara ukaingia lindo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ARV na PEP ni kitu kimoja tofauti ni matumizi tu Pep ni kitendo cha kuzuia maambukizi kirefu ni Post Exposure prophylaxis wakati ARV ndo dawa unazopewa-Antiretrovirals (ARVs) ,unapewa dawa zile zile zile ilazinaitwa pep coz inabd utumie baada ya kuhisi utapata maambukizi either ulijichoma na sindano au ulijimwagia damu watu wa afya wanajua na inatakiwa utumie ndani ya masaa24 ndo best ila usizidi ndani ya masaa72 unatumia siku28 yakizid masaa72 hujaanza huwa unamwachia mungu tu
Asante sana kwa elimu mkuu
 
Habarin wanaJF leo ningependa kushea na nyinyi haka kamkasa kalikonikuta nikiwa chuo ikiwa ni semister tu ya kwanza intake ya November 2019, sitopenda kutaja chuo wala fani nnayosomea.

Eh bhana sikia tu kwa jirani usiombe yakukute ilikuwa hivi

Nikiwa chuo semister ya kwanza ilitokea kuzoeana na girl mmoja hivi white and tall mzuri yani hana kasoro so design mm ni mtu sana wa watu yani nna ile charming personality so easy sana kutozoeana na mtu yeyote.

Si unajua tena ile group discussion huku na maneno matam matam binti akatokea kunielewa SIKUMTONGOZA ila mazoea tu ya karibu design akahisi kuwa namkubali kinoma noma ingawa me nilitaka tu normal friend coz tiari nna mpenz wangu wa muda mrefu.

Daaah basi bwana kwenye maongezi maongezi nkafanya tu kuchomekea unaonaje siku moja ukaja geto ile kunisalimia kama sehemu ya kufahamiana zaidi. Aisee nkashangaa napata BIG YES ya faster bila kupepesa macho, kamoyo kakashtuka huku nikajiuliza mbona imekua sooo simple ila nkabullshit labda kwa kuwa kaonesha kunielewa sana.

Kama unavyojua demu akishasema anakuja geto No kulaza damu, basi siku ikawadia, mtoto nikampga chips kuku juice huku akila movie taratibu na akionesha kuwa na furaha sana moyoni nkajihisi mwenye bahati na nyota ya kupendwa.

Tukala tukashiba, kila nikimuangalia alivyoumbika ndivyo damu yangu ilizidi kuwa ya moto nkaanza uchokoz binti akaelewa lakini machale yakanicheza kabla hatujavua nguo nkamuomba tupime kwanza kwasababu huwa nna vipimo ndan coz mm sio mpenz wa kutumia CONDOM.

Akasita kwanza huku akiniuliza what's happen nkimkuta anao nkacheka kwanz nkimjibu kimasihara haiwez tokea akaniulza tena ndo imetokea sasa ilibid ntabasam huku nkmjibu ntakupa ushaur upme tena baada ya miez mi3.

Wakat tunapma na stor mbili tatu akaniangalia uson huku akiniambia steve i came to shape your life nnaweza kuwa mtu sahh kwako au sio sahh,,,me hapo akili inawaza sex tu nkajibu No no no baby you are the right person to me right Love you so much huku nisielew nn anamaansha.

Baada ya dk 2 tu majibu yakasoma yote negative basi nikawa na furaha kinoma sikutaka kulaza damu ingawa yeye nilimuona kama mtu mwenye kushangaa flan hivi mimi sikujali midadi ilikuwa ishanipanda.

Nkampa foreplay ya kufa mtu mpaka hakawa hajiwez lakin ikawa kila nktaka kuingiza binti alikuwa anakataa ilibidi nitumie nguvu za uanaume kulazimisha sana had akakubal,,mapenz yalikuwa mubashara.

Tulimalza kigiza kikiwa kishaingia huku moyon nkijutia kumsaliti mpenz wangu na yy kuonekana mwenye furaha sana nkamkodia boda na mm siku hyo nilikua naingia job night shift.

Nkafika kazn nkisimulia washkaj zang namna nilvotoka kupga shoo kimzah mzah bas asubuh nkarud zang geto nkasema ngoja nipge mausaf kwanz mana niliacha apaelewek.

GHAFLA katka hal ya butwaa nashangaa kipmo kimoja hakionekan tulivopma kuangalia vizur nakikuta kweny pakt ya kipimo ile nakitoa nakutana na positive result kikiwa kimechora 2 lines Aisee nilihis kufa kufa kuangalia kile kingine kilichopo mezan ni cha negative kimochora 1 line.

Nilihisi kuharisha muda huo huku nikijiuliza maswali mengi kichwani hiki cha positive kitakuwa cha nani, Daah aisee nilikuwa na wakati mgumu sana.

Ikabidi muda huo huo nijipe ujasiri nipime kwa kutumia UNI GOLD kipimo kikubwa cha HIV namshukuru MUNGU majibu yangu yalikuwa Negative hivyo nikajua fika haya ya positive yatakuwa ya yule dada ndio maana alionekana kuwa na mashaka na kugoma wakat wa sex niliiilaumu sana nafsi yangu kwa kutokuwa mvumilivu kusoma majibu.

Nikapata akili ya kumpigia sim lakini hakupatkan hofu ikizidi kutanda ndani yangu, kwa kuwa nilikuwa nna kaelimu kuhusu HIV ikabidi nijitose muda huo huo angaza nkapata dawa nitumie mwezi mmoja ili kuzuia maambukizi.

Ndugu yangu ARV zisikie tu zinapelekesha mbayaaaa nilimuomba MUNGU sana aniepushe na janga hili huku nikifunga na kuomba kuungama dhamb zangu.

Siku ya tatu zile dawa zilionekana kudhoofisha afya yangu, nikasikia sauti ndani yangu ikiniambia niziache nkapata ujasiri mkubwa sana na kumwamini MUNGU nkaenda kutupa choon kopo zima.

Nilikuwa mtu wa ibada sana mpaka marafiki zangu wakinitania kuwa nimeokoka, niliendelea kula vizuri na kupiga sana tizi.

Chuo kilipofunguliwa nikapata taarifa kwa marafiki zake yule dada aliumwa sana mpaka kaamua kuahirisha mwaka.

Daah moyon nilikuwa nikihofia sana afya yangu kutokana na malengo makubwa niliyokwisha kujiwekea lakini Mungu alinipa amani na kujipa moyo I WILL BE FINE mwendo ukiwa ule ule IBADA, MLO KAMILI NA MAZOEZI.

Kitaalam wanasema inabidi ipite miez mitatu ndo upime tena mimi kla mwezi nikawa napima na nkashkuru sana MUNGU baada ya miez mi3 majibu yakawa safiiiii kabsaaa.

Eh bhan ee huo ndo mkasa wangu TUACHE TAMAA MAZEE KUWA NA MPENZ MMOJA MWAMINIFU TUPENDE IBADA.

By steve!!
Sasa Mkuu, unajua vipimo vina mida wake wa kusoma majibu (Interval)...Baada ya hapo majibu yoyote yanakuwa batili (aidha "False Positive).

Sasa nyie mmeshapima, umeenda kazini night, hadi umerudi unadhani ni muda sahihi wa kuangalia majibu tena?! (Sio muda sahihi)

Muda wa kusoma majibu ni ndani ya Dakika 20....ukizidisha muda majibu sio sahihi. (So, hiyo mistari inachoraga kipimo kikikaa muda mrefu, especially HIV SD BIOLINE).

Take it.
 
Ii story sha wahi kuisoma sehemu tena zamani sana .niikumbushe ulipo i copy basi
 
Hujatueleza maisha yako na mpenzi wako uliyemsaliti yalikuaje huku ukijua fika umeyakanyaga?
 
Hahaha mkuu hizo dawa zinaitwa pep mimi nimewahi tumia Mara mbili Ila Ile Mara ya pili chamoto nilikiona full kuota mandoto mixer mdomo unakua mchungu muda wote

Ngoja nitoe kisa kimoja

Kuna sehem nilipata Dem (alikua nesi) sasa mm na kujiaminisha kwangu nikamwambia yule mpenz wangu hatuwezi sex bila kupima (hapa nilikua najimwambafai tu coz nilikua najijua ni mzima).

Basi hyo siku tukakutana lodge na kwa bahat mbaya alikuja na kipimo kimoja tu so ikabidi anipime mm tu,, baada ya dakka chache kikawa kimesoma mstar mmoja, nilivoona majibu yangu mm nikawa nimetoka nje kwenda kutafuta chakula Sasa Ile narudi tu break ya kwanza nikaenda kukiangalia kipimo, lahaulaaa nikakuta mitari imejichora mitatu nilijitahd nikajikaza kiume bila kuonyesha mshangao wowote na nikakichukua kile kipimo na kukificha maana yule Dem hakukiangalia Tena yeye alikua anaandaa mazingira ya kula mti tu

Kutokana na mihemko nikawa nimejisahau kidogo na tukajikuta tushapeana vitu vya kutosha mpaka kila mmoja akawa ameridhika na muda wa kulala ukawadia mama yupo kifuani Mimi macho yanaangalia juu tu

Huwez amini nilishikwa na uchungu utafikiri yule Dem ni mwanangu au ni ndugu yangu wa damu

Nilijawa na mawazo Sana sikuwaza kwamba ikitokea nimeathirika niweze kumuambukiza mtu asiye na hatia Tena aliyeonesha upendo kwangu

Ile siku usingizi haukuja kabisa mwisho wasiku uvumilivu ulinishinda na nikamwamsha yule bidada na nikamweleza nilichokiona kwenye kipimo nilivokiangalia Mara ya pili

Kwakwel nilistaajabu moyo wa yule dada badala ya yeye kupanick akageuka kunituliza mm nisiwe na mashaka yeye mi mtu wa hospital anaelewa Kama ningekua nimeathirika kipimo kingeonesha mwanzoni kabisa

To cut the story hyo siku inayofuata nilikua na Safari Ila ikabid nighailishe na kunisubiria bidada aniletee vipimo vingine anipime na yeye apime ili nisafiri kwa amani

Majibu yalitoka Niko mzima na yeye pia ni mzima.
Majibu ya mwisho hopefully yaliwafanya mjihisi mmezaliwa upya.
 
Hii michezo uombe isikukute,
Kwa watu wanaofanya afya wanajua shughuli yake m nshatumia mara2 yan ile ushakula tunda alafu ndo unamwita mtu kupima anagoma ni msala Ila ngoja nisimulie kisa kimoja ujue ukimwi unaogopwa sana aise hata kama ulitumia kinga au ulipima Jana ukiitwa upime tena kimoyo lazima kistuke.
Kuna demu nlikuwa napiga kila nikimgusia tupime analeta sabab aha nkawanatumia ndomu siku moja nikapewa mcongo ndo ilikuwa Mara ya kwanza so Vumb+ndomu ikawa sio kitoto ila sababu nlikuwa kitengo cha HIV nikawa lazima nitumie ndomu sabab ya ule uoga ile siku tulibadili kama pakti 3 ndo kupata goli na show ilianza saa4 kama hiv mpaka saa6 hadi saa10 unatafuta goli moja toka ikipasuka unabadili ndomu ,kesho yake nikamwita demu job akasingizia anaumwa Mara nampigia ananiambia nimesafiri nipo Dom ,kwa vile nilitumia ndomu nikarelax miez ikapita nikipata show na demu mpya napima nipo fresh nakula tu matunda siku ya siku nkatumwa kituo kingine kikazi nikapanda na yule manzi kwenye hiace tunasalimiana hi nyingi m nipo na wenzangu wa kazin kumbe tunaelekea sehemu moja tukashuka tukatengana sijui ye alienda wap si tukaenda kupata breakfast kwanza ndo tukaingia kile kituo cha afya nimekaa tunaendelea na kazi ugenini kwenye ile office coz kazi ilikuwa kuhusu HIV Viral Loads bhana yule manzi huyo kaingia kufata dawa kwanza alistuka balaa kunikuta pale maana anajua kituo nnachofanyia kazi alitaman kugeuka jamaa wakituo kile hawajui kama namfahamu so wakawa wanaendelea normal kumuandikisha na makadi m jasho moyo ulipanda speed nikawaachia washkaj kazi nikatoka nje kwanza mwili uliishiwa nguvu baadae amesepa nikakimbilia kupima ghetto nipo fresh japo nimepima Mara nyingi katikat kabla ya hyo siku ila bado nlitetemeka kumbe bibie anachukulia dawa nje ya mji.
Nimesoma hii huku natetemeka mimi daah!
 
Nina comments mbili tu
1.Ngono baina na mwanamke aliyeadhirika na mwanamme ambaye hajaadhirika na aliyetahiriwa. Kama kuna lubrication ya kutosha (foreplay) na hamna kutumia nguvu kusababisha kuchubuka, then chances ya mwanamme kuupata ugonjwa ni chini ya 1%. The other way round kwa mwanamke hiyo % itakuwa juu kwa sababu mwanamke hupokea fluids.
1. Kwa wale wanaosema mara PEP mara ARV. PEP ni jina tu la hiyo process ya post exposure prophylaxis na wala hakuna dawa ziitwazo PEP. Ukihisi umeambukizwa na uende hospitalini within 72 hours, utapewa tu hizo ARVs ili kuzuia maambukizi ila hiyo process inaitwa PEP.
 
Wewe nawe acha uongo Jukwaani kuchangamsha genge, Kuna vitu unaandika ndiyo kazi wenzio wanazifanya kila siku.

1. Kipimo kina Bio line HIV kit, Ina muda wake kuisoma, Dk10-20 zaidi ya hapo utapata majibu batili, Hii Ina maana kwamba ukiisoma zaidi ya kuo muda itasoma positive kwa Maana line zote zitakuwa zinaonekana.

Na hapo Kama mwanzo kilisoma negative kitaonesha positive, Uliposea ulirudi KAZINI Asubuhi Ni wazi utakuta kinasoma positive.

2. Ulipoenda Angaza ulianzishiwaje !!?? Dawa Bila kukuta una maambukizi!??? Mpaka ukaacha hizo dawa?!!

Na unapoandika kuwa ulipima Baada ya miezi tatu na kukuta huna maambukizi Kwani?? ARV zinaponyesha Ukimwi au zinafubaza mabukizi!!???

Kingine kulala na mtu mwenye maambukizi ya UKIMWI haina maana lazima akuambukize, Kuambukizwa Ni mpaka Blood contamination, Uteute sehemu za Siri hautoshi kueneza Virus. Ndiyo sababu kuna wenza wanaishi mmoja ana maambukizi mwingine Hana.

Ingawa siku hizi Kuna Oral HIV test kit. Acha kugawa chai love story yako ya kusadikika usiifungamanishe na vitu vya msingi.
mwenyewe nimeona hii ni chai,
 
Habarin wanaJF leo ningependa kushea na nyinyi haka kamkasa kalikonikuta nikiwa chuo ikiwa ni semister tu ya kwanza intake ya November 2019, sitopenda kutaja chuo wala fani nnayosomea.

Eh bhana sikia tu kwa jirani usiombe yakukute ilikuwa hivi

Nikiwa chuo semister ya kwanza ilitokea kuzoeana na girl mmoja hivi white and tall mzuri yani hana kasoro so design mm ni mtu sana wa watu yani nna ile charming personality so easy sana kutozoeana na mtu yeyote.

Si unajua tena ile group discussion huku na maneno matam matam binti akatokea kunielewa SIKUMTONGOZA ila mazoea tu ya karibu design akahisi kuwa namkubali kinoma noma ingawa me nilitaka tu normal friend coz tiari nna mpenz wangu wa muda mrefu.

Daaah basi bwana kwenye maongezi maongezi nkafanya tu kuchomekea unaonaje siku moja ukaja geto ile kunisalimia kama sehemu ya kufahamiana zaidi. Aisee nkashangaa napata BIG YES ya faster bila kupepesa macho, kamoyo kakashtuka huku nikajiuliza mbona imekua sooo simple ila nkabullshit labda kwa kuwa kaonesha kunielewa sana.

Kama unavyojua demu akishasema anakuja geto No kulaza damu, basi siku ikawadia, mtoto nikampga chips kuku juice huku akila movie taratibu na akionesha kuwa na furaha sana moyoni nkajihisi mwenye bahati na nyota ya kupendwa.

Tukala tukashiba, kila nikimuangalia alivyoumbika ndivyo damu yangu ilizidi kuwa ya moto nkaanza uchokoz binti akaelewa lakini machale yakanicheza kabla hatujavua nguo nkamuomba tupime kwanza kwasababu huwa nna vipimo ndan coz mm sio mpenz wa kutumia CONDOM.

Akasita kwanza huku akiniuliza what's happen nkimkuta anao nkacheka kwanz nkimjibu kimasihara haiwez tokea akaniulza tena ndo imetokea sasa ilibid ntabasam huku nkmjibu ntakupa ushaur upme tena baada ya miez mi3.

Wakat tunapma na stor mbili tatu akaniangalia uson huku akiniambia steve i came to shape your life nnaweza kuwa mtu sahh kwako au sio sahh,,,me hapo akili inawaza sex tu nkajibu No no no baby you are the right person to me right Love you so much huku nisielew nn anamaansha.

Baada ya dk 2 tu majibu yakasoma yote negative basi nikawa na furaha kinoma sikutaka kulaza damu ingawa yeye nilimuona kama mtu mwenye kushangaa flan hivi mimi sikujali midadi ilikuwa ishanipanda.

Nkampa foreplay ya kufa mtu mpaka hakawa hajiwez lakin ikawa kila nktaka kuingiza binti alikuwa anakataa ilibidi nitumie nguvu za uanaume kulazimisha sana had akakubal,,mapenz yalikuwa mubashara.

Tulimalza kigiza kikiwa kishaingia huku moyon nkijutia kumsaliti mpenz wangu na yy kuonekana mwenye furaha sana nkamkodia boda na mm siku hyo nilikua naingia job night shift.

Nkafika kazn nkisimulia washkaj zang namna nilvotoka kupga shoo kimzah mzah bas asubuh nkarud zang geto nkasema ngoja nipge mausaf kwanz mana niliacha apaelewek.

GHAFLA katka hal ya butwaa nashangaa kipmo kimoja hakionekan tulivopma kuangalia vizur nakikuta kweny pakt ya kipimo ile nakitoa nakutana na positive result kikiwa kimechora 2 lines Aisee nilihis kufa kufa kuangalia kile kingine kilichopo mezan ni cha negative kimochora 1 line.

Nilihisi kuharisha muda huo huku nikijiuliza maswali mengi kichwani hiki cha positive kitakuwa cha nani, Daah aisee nilikuwa na wakati mgumu sana.

Ikabidi muda huo huo nijipe ujasiri nipime kwa kutumia UNI GOLD kipimo kikubwa cha HIV namshukuru MUNGU majibu yangu yalikuwa Negative hivyo nikajua fika haya ya positive yatakuwa ya yule dada ndio maana alionekana kuwa na mashaka na kugoma wakat wa sex niliiilaumu sana nafsi yangu kwa kutokuwa mvumilivu kusoma majibu.

Nikapata akili ya kumpigia sim lakini hakupatkan hofu ikizidi kutanda ndani yangu, kwa kuwa nilikuwa nna kaelimu kuhusu HIV ikabidi nijitose muda huo huo angaza nkapata dawa nitumie mwezi mmoja ili kuzuia maambukizi.

Ndugu yangu ARV zisikie tu zinapelekesha mbayaaaa nilimuomba MUNGU sana aniepushe na janga hili huku nikifunga na kuomba kuungama dhamb zangu.

Siku ya tatu zile dawa zilionekana kudhoofisha afya yangu, nikasikia sauti ndani yangu ikiniambia niziache nkapata ujasiri mkubwa sana na kumwamini MUNGU nkaenda kutupa choon kopo zima.

Nilikuwa mtu wa ibada sana mpaka marafiki zangu wakinitania kuwa nimeokoka, niliendelea kula vizuri na kupiga sana tizi.

Chuo kilipofunguliwa nikapata taarifa kwa marafiki zake yule dada aliumwa sana mpaka kaamua kuahirisha mwaka.

Daah moyon nilikuwa nikihofia sana afya yangu kutokana na malengo makubwa niliyokwisha kujiwekea lakini Mungu alinipa amani na kujipa moyo I WILL BE FINE mwendo ukiwa ule ule IBADA, MLO KAMILI NA MAZOEZI.

Kitaalam wanasema inabidi ipite miez mitatu ndo upime tena mimi kla mwezi nikawa napima na nkashkuru sana MUNGU baada ya miez mi3 majibu yakawa safiiiii kabsaaa.

Eh bhan ee huo ndo mkasa wangu TUACHE TAMAA MAZEE KUWA NA MPENZ MMOJA MWAMINIFU TUPENDE IBADA.

By steve!!
Dah pole sana mkuu, kuna kitu umejifunza.
 
Mmedanganywa sana tena sana na ukweli ulishajulikana kitambo ila mmegoma kabisa kufungua akili zenu. Mpaka siku huyo huyo Galo awatangazie vinginevyo labda ndo mtaamini😔😔😔
 
Back
Top Bottom