Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,176
AxntHongera kwa ujasiri
Hujakoxea kaka, chui juu kama magufuli na Chatto, ila mm naamini mungu alikuwa upande wangu hyo story inasisimua ila cjaeleza jinsi nilivyokaokolewa.Huyo chui ni mlemavu mkuu?? Maana chui nao mafundi sana wakuparamia miti kama sikosei.
Watumwe wataalam wa maliasili wakuje niwapeleke eneo la tukioMkuu ulikutana na Chui asiye panda miti? Inaweza kuwa tuna kivutio hiki tunakosa hela za watalii
Sala za wazazii zinasaidiaHabarini wadau wa JF pole na majukum ya kila cku,,
straight to the point.
wakati niko mdogo takriban miak 10 hv cku moja nko ktk harakat zangu za mawindo nilijikuta nipo katikat ya pori kama kawaida ya mawindo ya bush, ile cjatulia vzur mara chui kaingia! Daah niliishiwa nguvu na ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona chui wakati huo niko juu ya mti chui yuko chini, hata cjui niliponaje kama c ukuu wa mungu tu..
Mungu amlaze mahala peponi mama angu, ila nakumbukuka alinikoxa mwichi kichwan baada ya kuokolewa koz yey alikuw hatak ishu za kuwinda haxa ktk mapor makubwSala za wazazii zinasaidia
Sasa mkuu siuleze ulivyookolewa au tumsubiri chui ndio aje amalizie?Hujakoxea kaka, chui juu kama magufuli na Chatto, ila mm naamini mungu alikuwa upande wangu hyo story inasisimua ila cjaeleza jinsi nilivyokaokolewa.
Nitaandaa uzi mwingne mkuu hata ucjali story lazme ifike mwisho.Sasa mkuu siuleze ulivyookolewa au tumsubiri chui ndio aje amalizie?
Ha ha jamani, shule zifunguliwe tu..Nitaandaa uzi mwingne mkuu hata ucjali story lazme ifike mwisho.
Huko kwenu umakondeni kuna chui? Ilikua wilaya gani?Hujakoxea kaka, chui juu kama magufuli na Chatto, ila mm naamini mungu alikuwa upande wangu hyo story inasisimua ila cjaeleza jinsi nilivyokaokolewa.