Usiamue hivo kaka. Wanaume ni wachache kuliko wanawake duniani.
Sasa ikiwa wengine mtaamua msipende tena sisi tutapendwa na nani?
Please, please, please consider you decision, kwa kutuonea huruma sisi.
yote sahi mlionishauri bt kupotezea ni ushaur sahih zaid ya walionshaur kujiua
Maamuzi ya busara...kila la kheri!!
sio leo wala kesho
itabid niendelee kuwepo wepo kwa muda kdogo
kama ntafanya hvo basi naamin itanchukua muda
niliyempenda et kaamua kunisalit kwa RAFIKI YANGU wakaribu kabisa kisa VIJISENT
naomben ushauri nihame mji au nijiue 2 ila sipend hata kidogo kuwaona hawa mafedhuri