Sitokwenda tena kanisani mpaka nisikie viongozi wa kanisa wanaweka sheria kali kwa uvaaji wa mavazi ya hovyo kwa wanawake ndani ya kanisa

Wachungaji/mapadre wanaogopa wakiwakemea watapoteza waumini,hadi suruali wanawake wanavaa na wanaenda madhabahuni!!viongozi wa dini hawana wito ni wasaka tonge tu na ndio maana hutokaa uone wakikemea mavazi church!!
 
Ni suala la utamaduni tu.Wenzetu wazungu ambao ndiyo walituletea hizo dini hawaangalii hayo.Baadhi wanavaa kama wanaoenda disko.
Hata biblia haisemi juu ya aina ya mavazi ya kuvaa na wala si moja ya amri kumi za Mungu.
 
ewe falisayo Mungu anatizama roho. Mavazi mnatizama ninyi wenye imani isiyo lingana hata na punje ya haradali

NB. MUNGU HAKUMWUMBA MWANADAMU NA NGUO. KAMA UNAVYO MWONA PUNDA KITU KIKO NJE NJE NDIVYO ILIVYOKUWA.
Soma andiko hilo, nmathayo 5:28 Kila amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha zini Naye moyoni mwake. Jiulize kama uvaaji huu ukaruhusiwa makanisani, ni wanaume wangapi wanaoweza jujizuia ili wasizini mioyoni wao??
 
Akili huna
 
NALIA NGWENA Leo nimefadhika sana Tena na mungu atanisamehe kwa hilo, nimeona ili nisiwe na poteza muda wangu ni Bora nisiende kanisani tu.

Ipo hivi, nimeona mavazi ya ajabu yaliyovaliwa leo kanisani mpaka nikajiuliza nipo kanisani au klabu Tena siyo kwa madada mmoja tu Bali nimeona kwa wadada tofauti kwa kweli nilifadhaika mno.

Imagine nguo imewamba imetaiti mwili na kijungu kimebinuka Kama mtungi wa gesi halafu mtoto wa kike yupo mbele anacheza kwaya kwa kweli nilijikuta nameza fundo la mate na mwazo yangu kwenda mbali kabisa.

Dooh, Fito yangu ndani ya boksa ilinyanyuka na kusimama vilivyo na kunipelekea kukosa amani kabisa, mwamba niliona ngoja niende walau toileti nikatafute njia mbadala nilifika toilet nilipiga push up walau kumi ili kutuliza munkali Wa Fito/Abdala kichwa wazi na kweli nilifanikiwa lakini Cha mtema kuni nilikiona maana nilifadhaika mno Tena mno.

Maoni Yangu: Viongozi wa kanisa msifuge huu upuuzi wa dada zetu kuja kushindana mavazi kanisani ipo siku watatuua kwa ugwadu , Leo sala yangu imeenda bure kwa kweli nikili tu nilikwenda kanisani kutembea na siyo kufanya ibada.
391368.jpg

Du kama vile ulivyo, mtalimboo ukkuzia pepo ukate!
 
Soma andiko hilo, nmathayo 5:28 Kila amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha zini Naye moyoni mwake. Jiulize kama uvaaji huu ukaruhusiwa makanisani, ni wanaume wangapi wanaoweza jujizuia ili wasizini mioyoni wao??
Anzia hapo kwa kumtamani. mbona hutamani dada zako? Unaweza kumtazama na usimtamani
 
Unakuta mwanamke amevaa kigauni hata akivua ukakiweka kwenye glasi hakijai, ukiuliza unaambiwa Mungu haangalii mavazi anaangalia roho.
Huu msemo imeangusha wachungaji,wanakwaya ,na viongozi wengi kanisani katika aibu ya ngono.

MUNGU ANAANGALIA ROHO,ILA SISI TUNAONA MWILI.hatuoni roho
Sasa chui makahaba hawa wanatafuta wateja kanisani kbs
 
Wengi wanahitaji kutongozwa wanaovaa nguo za ivyo na ATTENTION pia kwaiyo ungesema ata na mmoja wao mkuu baada ya misa kuisha ,makanisa mengi ya siku hizi wanavaa ivyo
 
Utaambiwa unahukumu watu ,utaambiwa Mungu anaangalia nafsi .

Halafu ukisoma biblia utaona hekalu ni mwili wa mtu na kanisa ni watu.

Ina maama hekalu ya bwana halitakiwi kusitiriwa sio !?

Hitimisho hekalu ambao ni mwili wa mtu upo kiibada kwa nn watu wauchafue kwa kuvaa nusu uchi ....Kwa haraka kama mwili ni hekalu basi mwili huo masaa 24 utunze na uwe tayari kwa ibada pamoja na sala.
Kwani Mkuu umesahau pazia la hekalu lilipasuka siku ya Ijumaa kuu kadiri ya maandiko?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
NALIA NGWENA Leo nimefadhika sana Tena na mungu atanisamehe kwa hilo, nimeona ili nisiwe na poteza muda wangu ni Bora nisiende kanisani tu.

Ipo hivi, nimeona mavazi ya ajabu yaliyovaliwa leo kanisani mpaka nikajiuliza nipo kanisani au klabu Tena siyo kwa madada mmoja tu Bali nimeona kwa wadada tofauti kwa kweli nilifadhaika mno.

Imagine nguo imewamba imetaiti mwili na kijungu kimebinuka Kama mtungi wa gesi halafu mtoto wa kike yupo mbele anacheza kwaya kwa kweli nilijikuta nameza fundo la mate na mwazo yangu kwenda mbali kabisa.

Dooh, Fito yangu ndani ya boksa ilinyanyuka na kusimama vilivyo na kunipelekea kukosa amani kabisa, mwamba niliona ngoja niende walau toileti nikatafute njia mbadala nilifika toilet nilipiga push up walau kumi ili kutuliza munkali Wa Fito/Abdala kichwa wazi na kweli nilifanikiwa lakini Cha mtema kuni nilikiona maana nilifadhaika mno Tena mno.

Maoni Yangu: Viongozi wa kanisa msifuge huu upuuzi wa dada zetu kuja kushindana mavazi kanisani ipo siku watatuua kwa ugwadu , Leo sala yangu imeenda bure kwa kweli nikili tu nilikwenda kanisani kutembea na siyo kufanya ibada.
Wee muislamu ulienda kufanya nini kanisani? Sisi wakristo tunaabudu kiroho zaidi! Hatuko mwilini! Hila kutovaa mavazi ya staha kwa mwanakwaya halikubaliki! Kwa mtu anayekuja kuabudu inaweza isiwe shida kwasababu Yesu (Mungu) alikuja kutafuta wenye dhambi na alitupenda hadi akatufia msalabani tukiwa bado wenye dhambi! Kwahiyo kama wewe ni kahaba na ukaja kanisani na mavazi ya kikahaba hatukufukuzi! Kazi ya wazee wa kanisa ni pamoja na kuwasitili watu kama hao na kuwaruhusu ndani! Hata kama ni mlevi ukaja unaweweseka kanisani wazee wa kanisa watakuongoza na kukuweka kwenye siti (ili mradi usiwe kero kwa wengine). NALIA NGWENA
 
KAMA HAIKUBALIKI KUVAA MAVAZI YA AJABU BASI NI MUDA WA KUPAZA SAUTI MAVAZI YA AJABU SASA YAMEINGIA KANISANI.

TRANSPARENT MZEE UNAONA MPAKA RANGI YA CHUPI/TAIT.
 
Utaambiwa unahukumu watu 😁😁,utaambiwa Mungu anaangalia nafsi .

Halafu ukisoma biblia utaona hekalu ni mwili wa mtu na kanisa ni watu.

Ina maama hekalu ya bwana halitakiwi kusitiriwa sio !?

Hitimisho hekalu ambao ni mwili wa mtu upo kiibada kwa nn watu wauchafue kwa kuvaa nusu uchi ....Kwa haraka kama mwili ni hekalu basi mwili huo masaa 24 utunze na uwe tayari kwa ibada pamoja na sala.
I second this statement.
 
Back
Top Bottom