Sitokusahau

Sitokusahau

Usicheke best, watu wana maumivu yao, huoni mvua hizi! Watawakumbuka mpk wale waliosoma nao nursery

Acha tu kama mm ndio ndoa ndoano najuta ata kwa nini niligombana na manzi yangu.... bariidii Hii
 
Usicheke best, watu wana maumivu yao, huoni mvua hizi! Watawakumbuka mpk wale waliosoma nao nursery

Wisely huwa naamini ya kuwa ktk maisha 2na mapitio mengi sana yenye kufurahsha na kuhuzunisha,cdhani kama m2 anaweza sahau moments zlzowah muumiza ama kumfurahsha.imebki kumbukumbu tu,kutokumsahau haimaanish nampenda,bali alichofanya ktk maisha yangu(LOVE IS THE BURNING SPEAR IN THE LIFE),xo when hurted inaweka kovu myoni bt k2 kizur u move on nakuendlea na mambo mengne bt finally to me i found again my happiness half decade ago.am happy,nlimweka wazi yte nlyopitia b4 i met her,dis made me happy and free to my beloved 1.maisha yanaendlea bt HISTORY has been made it cnt be changed forever.nyc afternun
 
Kumbe leo ndio unalivua pendo ulofikiri atarudi

unajifanya bingwa wa kupenda dada eee
 
Ulichota moyo wangu kama kasi ya upepo,ghafla nkakupenda kupindukia,tukawa katika mahusiano, kumbe unaniinjoi, una mtu mwngine wampenda lakini hukuniambia, ukaniacha siku 5 kabla ya Pasaka mwaka 2010.

Hatimaye nikamwaga chozi langu la kwanza juu yako, sikuwa na jinsi maisha yameendelea, Iam happy with my new relationship now with 5 yrs MAY ALMIGHT GOD bless me.

Karibu JF, Home of Great Thinkers.
 
hahahahahaaaaaaaaaaaa

wewe lazima hauko happy na mahusiano haya ya sasa. bado unamkumbuka "zilipendwa wako"
 
Back
Top Bottom