Sitokaa niwasamehe wazazi wangu kwa kunikatalia kumuoa binti niliyempenda kisa tofauti zetu za Dini

Nililipuka kwa furaha na nikaona hii ndio itakuwa ni njia nzuri ya Ilham kukubalika kwetu hivyo moja kwa moja nikasafiri kwenda nyumbani moshi kuwataarifu wazazi juu ya ujauzito wa Ilham.
we jamaa unalialia tu ovyo, sasa unakimbilia kwenu ili iweje na unajua mwanzo walikataa...we si uendelee na maisha yako ya ndoa....
 
Lakini baba yangu ameniacha Dilema, namuona anaenda kaburini huku akiwa na kinyongo pasipo mimi kujua kosa langu ni nini, nitaendelea kumpenda mke wangu Ilham na yote namuachia mungu.
emoji120.png
hii ni afrika kuna matatizo mengi..wewe huna koasa ila ni shida za kimwinyi tu yanimzazi anaonma hakose hata kidogo....ndoa ni wewe na mke wako hivo ilipasa wasilazimishe na kulaani eti sio....so kuondoka kwako ilibidi tu uwasiliane nao kawaida bila kutaja mambo yandoa na wakumuoa...kingine umejitahidi sana pia kuwa vizuri kwao ila tatizo tu mzee wako alishaamua ..... aliona umewasusa ulivokaa kimya baada ya kuondoka...yeye ana kinyongo wewe uliacha kuwa na kinyongo...tujifunze tu kuacha mabaya kudeal na mema...misimamo yetu tofauti isiwe shida mpaka tusishirikiane vitu vingine
 
Pole Sana kwa mtihani Kama huo ila Kama ni vile tu yale Maneno ya mzee wako wala usiyawaze Sana ili ikawa kila baya ukilpata unakumbka Maneno Yale angali sio but Mzee alkuwa na hasira maana waliona mateso ya baba yako mkubwa yalyompata ila sio waislam wote wapo vile
 
Mkuu nimesoma uzi wako lakini kuna kitu umenikera sana, yaani wewe ni mtu wa kulia lia tu? Mwanaume unatakiwa kuwa imara hata kama kimetokea nini hupaswi kutoa machozi kama Mwanamke bhana!
Ghafla machozi yakaanza kunitoka nikajikuta nimeinama huku nikilia kwa uchungu hadi watu wakaanza kuhisi kuna kitu hakipo sawa kati yetu,
Baada ya Ilham kuniambia kuwa anataka niende nae tukamsalimu mama yake, kwani alikuwa anataka kuniona nilijikuta kwa mara nyingine tena natokwa na machozi huku nikilia kwa uchungu ikabidi Ilham atoe kitambaa chake na kunifuta machozi huku akiniambia kuwa ni kipi kilichonisibu.
Baada ya mama yake ilham kuongea maneno yale nilijikuta machozi yananilengalenga hadi nikaomba kwenda uwani, na nilipofika nilijifungia uwani nikaanza kulia kwa uchungu iweje huku nikubalike
Nikabaki pale nnje nikiwa nalia tu nikiwa sina cha kufanya
aliniuliza kuhusu hali za wazazi wangu machozi yalikuwa yakinitoka tu

Anyways, kuhusu laana ya Baba, yako mimi nadhani inaweza kukupata maana wewe umeivunja ile Amri ya MUNGU inayosema Waheshimu baba yako na mama yako... Mkuu fahamu kwamba "KUTII" ni bora kuliko fedha na dhahabu! Wewe hukumtii Mzee wako na hii laana aliyokuachia lazima itakutafuna tu, soon or later you will face the consequences of your disobedient!

Unachoweza kufanya, nenda kamwombe msamaha akiwa bado yuko hai, omba msamaha mbele yake kwani hata kama hawezi kuongea lakini anaweza kukusikia. Hakikisha unamwomba msamaha kabla hajakata roho!
 
Mkuu nimesoma uzi wako lakini kuna kitu umenikera sana, yaani wewe ni mtu wa kulia lia tu? Mwanaume unatakiwa kuwa imara hata kama kimetokea nini hupaswi kutoa machozi kama Mwanamke bhana!

Anyways, kuhusu laana ya Baba, yako mimi nadhani inaweza kukupata maana wewe umeivunja ile Amri ya MUNGU inayosema Waheshimu baba yako na mama yako... Mkuu fahamu kwamba "KUTII" ni bora kuliko fedha na dhahabu! Wewe hukumtii Mzee wako na hii laana aliyokuachia lazima itakutafuna tu, soon or later you will face the consequences of your disobedient!

Unachoweza kufanya, nenda kamwombe msamaha akiwa bado yuko hai, omba msamaha mbele yake kwani hata kama hawezi kuongea lakini anaweza kukusikia. Hakikisha unamwomba msamaha kabla hajakata roho!
Duh mkuu mapenzi yanaumiza
 
Pole Sana kwa mtihani Kama huo ila Kama ni vile tu yale Maneno ya mzee wako wala usiyawaze Sana ili ikawa kila baya ukilpata unakumbka Maneno Yale angali sio but Mzee alkuwa na hasira maana waliona mateso ya baba yako mkubwa yalyompata ila sio waislam wote wapo vile
Shukran
 
Back
Top Bottom