SItokaa nitembee na wanawake hovyo

Mnapataga ujasiri upi kulala na mtu humjui kabisa??
Kumjua utamjuaje mkuu? Si mpaka muonane mjuane hapohapo na maisha yaendelee.Mshauri aache tu kuzurura atapata mabalaa zaidi ya hayo
 
mbinu zangu hizo
 
mbinu zangu hizo
 
In this life there's no thing called Mkosi .

Ukiona unapata hasara ujue Kuna sababu na sio kulala na wanawake .

Mambo hayamtokei MTU ila hutokea kwa ajili ya MTU and that's life .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…