Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,947
- 31,815
Mnachoshindwa kuelewa vijana wengi ni kwamba mwaka huo kilichowafelisha watu ni grading system tu .Ilikuwa C pekee tena za kuhesabika, TO alitoka Ilboru akiwa na A ya Chemia na Mathe ila C ya Physics
Nmesha jazia mkuu, nahisi ndio paper ya kwanzaHujautendea haki uzi wako mkuu! Jazia nyama kidogo, hutausahau kivipi? Ulikuwa mgumu kwako? Rahisi mno kwako? Au kuna kitu gani unique kinachokufanya usahau mitihani mingine isipokuwa huo!?
Ndio hivyo mkuu, TO alikua na C ya physicsPhysics naskia no B that year
Mnachoshindwa kuelewa vijana wengi ni kwamba mwaka huo kilichowafelisha watu ni grading system tu .
Mwaka huo grading zilikuwa hivi; A ilikuwa 80-100, B ilikuwa 75-79, C 65-74 , D 55-64, E 45-54, S 35 -44, F 0-34
Sasa hao waliopata C kiuhalisi ilibidi wawe na B.
Hilo ndio lengo mkuu, natesekaje sasa hapa nacheka tuu, nakubatasamuLengo ndiyo hilo tu mbona unateseka
Dah hilo paper naskia one tz nzima zilkua 321 iv kama sikosei.
Hayo maswali yanatembea lkn sio kizembe zembe na hili paper walimu wengi wanalitumia kupima wanafunzi wao
Hiyo pepa ilikua ni noma nilikula mswaki (F). Ikabidi nirudie mwaka 2014 nikapiga karai (C) nikasepa zangu chuo.Wakuu sito isahau paper ya advanced mathematics 2013, ninacho kumbuka mara baada ya mtihani kuna wenzangu walikua wanalia wakuu, kuna hesabu moja ya calculating device skujua nianzie wapi niishie wapi. Matokeo yalivyo toka ilinibidi nichungulie na shule zingine wamefaurije nilikuta kumbe paper lilikua gumu shule zote, kama huamini chungulia nawewe, huwez amini fedha walipata one 23, huwezi amini Kibaha walikua na div 4, na div one zisizo zidi 25, huwezi amini mzumbe nao hola hivyo hivyo. Sasa ndio naamini kweli elimu ya advance iliishia mwaka 2013,
View attachment 1155103View attachment 1155104d mathematics 2013,View attachment 1155106
Hahah... wewe utakuwa ulikuwa EGM... hivi unashindwaje kutembeza swali la kwanza. Radioactive hiyo mtu ameruka nayo sana kwenye physics. Unless kama atakuwa hajui kutumia calculator...Naomba nitembezee swali la kwanza (b)
Hiyo paper mwenyewe nilishuhudia watu wanalia, yaani sema mimi sikua na wasiwasi sana cause chemistry na physics nlikua mwake kinyama yaaniWrite your reply..japo sikusoma combination yoyote yenye advanced mathematics but nakumba hii siku nilishuhudia mtabe wa namba pale kibasila ikitoka analia baada ya paper kuisha , ila mungu alikuwa bado yupo upande wake maana baada ya matokeo jamaa bado alipiga fresh tu.
Hilo swali limeshort data, ww usiliangalie kwa macho tu, hapa physics ndio imelalaHahah... wewe utakuwa ulikuwa EGM... hivi unashindwaje kutembeza swali la kwanza. Radioactive hiyo mtu ameruka nayo sana kwenye physics. Unless kama atakuwa hajui kutumia calculator...
Acha kutudanganya niambie Simpson's rule ipo topic gani form 4Maswali haya nimefanya nikiwa form 4 form 6 mtu analalamika.
Hebu niambie shuleni kwako kulikua na A ngapi za hesabu mwaka huo, na shule gani ili tu prove wote humu, kulikua na div one ngapi?Hahah... wewe utakuwa ulikuwa EGM... hivi unashindwaje kutembeza swali la kwanza. Radioactive hiyo mtu ameruka nayo sana kwenye physics. Unless kama atakuwa hajui kutumia calculator...
Hebu niambie shuleni kwako kulikua na A ngapi za hesabu mwaka huo, na ni shule gani ili tu prove wote humu, kulikua na div one ngapi?Maswali haya nimefanya nikiwa form 4 form 6 mtu analalamika.
Sawa aiseeHilo ndio lengo mkuu, natesekaje sasa hapa nacheka tuu, nakubatasamu
Dah! Physics ilinifanya nijifunze uhuniIlikuwa C pekee tena za kuhesabika, TO alitoka Ilboru akiwa na A ya Chemia na Mathe ila C ya Physics
Dah! Physics ilinifanya nijifunze uhuni
Ilinipa tabu sana wakati naingia kidato cha tano miaka hiyo nilichelewa kuripoti siku ya pili tu nakutana na test alafu sikuwa nimezoea kuzidiwa na wanawake kuangalia hivi sioni la kujibu na pre form five sikusoma acha kabisa mkuu nilitamani nipae!
Ni tamu kuisoma, ila kwenye lazima ikulize
Kitu mojawapo kilichonipatia historia katika safari yangu ya masomo sekondari ni Somo la Advanced Physics.Ilinipa tabu sana wakati naingia kidato cha tano miaka hiyo nilichelewa kuripoti siku ya pili tu nakutana na test alafu sikuwa nimezoea kuzidiwa na wanawake kuangalia hivi sioni la kujibu na pre form five sikusoma acha kabisa mkuu nilitamani nipae!
All in all nikajikuta nimekuwa mbabe wake tena ile 0 ilinifunza kuna jamaa yangu yuko Muhimbili anaitwa G mbaga ni watu pekee tuliokuwa hatujui kitu aisee