M mr arsenal Member May 21, 2012 35 6 May 29, 2012 #1 haya yanayotokea leo hii zanzibar ni matokeo ya sitofahamu iliyokuwepo muda mrefu kuhusu huu muungano alafu leo ambapo tunapata hiyo fursa ya kutaka kujua eti wanatuambia hatutakiwi kuujadili muungano its none sense jamani.
haya yanayotokea leo hii zanzibar ni matokeo ya sitofahamu iliyokuwepo muda mrefu kuhusu huu muungano alafu leo ambapo tunapata hiyo fursa ya kutaka kujua eti wanatuambia hatutakiwi kuujadili muungano its none sense jamani.
wagaba JF-Expert Member Apr 3, 2012 1,106 603 May 29, 2012 #2 Wanasita kutoa fursa wananchi watoe maoni kuhusu mustakabali wa muungano utafikiri wameshajua outcome
Wanasita kutoa fursa wananchi watoe maoni kuhusu mustakabali wa muungano utafikiri wameshajua outcome