Sitochepuka tena

Kwakweli mimi hapo shemeji yenu hana hayo ila sijui sababu kwanini nachepukaga
 
Nimekaa na kufikiri mke ninaye mzuri tu anajitumabkila idara ila tu sijui kwanini nachepuka na kote nilikochepuka sijaona utamu zaidi yabule niupatao ssa labda nyie wachepukaji wenzangu huwa mnafuata nini kwa michepuko
Huwa tunatafuta kumiksi tuladha.

Mboga moja kula kila siku hata kama ni nyama inakinai aiseee.

Inabidi sometimes uwe unamiksi na kamchicha kidogo.
 
Huwa tunatafuta kumiksi tuladha.

Mboga moja kula kila siku hata kama ni nyama inakinai aiseee.

Inabidi sometimes uwe unamiksi na kamchicha kidogo.
 
Ni jambo zuri kujitambua katika maisha.

Ila ilo swali lako la kizembe, kwanini watu wanachepuka...!

Wewe ndio ulikuwa useme kwanini ulikuwa unachepuka wakati shem wetu ni mzuri..?

Hayo ndio mazara ya kutotumia mmea mtakatifu.
 
Nimekaa na kufikiri mke ninaye mzuri tu anajituma kila idara ila tu sijui kwanini nachepuka na kote nilikochepuka sijaona utamu zaidi ya ule niupatao sasa labda nyie wachepukaji wenzangu huwa mnafuata nini kwa michepuko

Hhahahhhahahhahaha...... Now, you are coming to your senses...!!!!
 
Hahhahahahahahaha.... Haya bhana....!!!
 
hapa mwenzenu kuna kesi kubwa inanisubiri hme juzi nilichepuka wife alisafiri kidogo kumbe wananoko waliniona sasa nasubiri giza liliingie ndo nikasikilizie timbwili lake,nahisi kila mtu kitaaani atakuwa ana hii habari
 
Mwanaume kwa asili ni MTU wa wake wengi. Angalia hara wanyama. Dune moja majike wengi. Huwezi kupingana na asili.
 
Nimeoa nina watoto watatu na mke wangu kwa kweli ni mzuri na anajitahidi sna kunihudumia kila kitu ila nachepuka mpaka naona aibu ya nafsi na hata nikiulizwa kwanini nachepuka SIJUI kabisa
. Sasa nataka nipunguze kidogo au niache kabisav

Soma signature yangu
 
Mkuu,hata ukimmiliki Kim Kardashian au Beyonce,siyo guarantee kuwa hutachepuka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…