kuna mahali umeharibu hasa ulipofeli ndipo ulipoharibu kabisa,walichokitegemea kwako sicho walichokipata sasa wamekata tamaa hata huko mifugo walipokupeleka shukuru mungu.
ndugu yangu,yawezekana,lakini nina dvn 3 ya 25,na ilivyokuwa nilipata nafasi ya kwenda jesh na nyingine kwenda ualimu wakanikataza na wakadai niwaskilze je ni kwel m ninakosa?
kuna mahali umeharibu hasa ulipofeli ndipo ulipoharibu kabisa,walichokitegemea kwako sicho walichokipata sasa wamekata tamaa hata huko mifugo walipokupeleka shukuru mungu.
angalia huyu mwenzako hapa nae alifeli mpaka veta tukampeleka chuo cha ualimu matokeo yake ni hay je!utamthamini mtu huyu kama ni wewe,kumbuka dada yako ,kaka yako wanamajukumu kukusomesha its just extra will .
https://www.jamiiforums.com/mahusia...liki-ndio-kitendawili-kingine.html?highlight=
Hayatuhusu. Peleka umbeya wako kwa ndugu zako. Toa mada zenye kueleweka. Sasa ndio umeandika nini hapo juu? umenikera sana. [/QUOTE
sasa ndo umeandika nini hapa
Hayatuhusu. Peleka umbeya wako kwa ndugu zako. Toa mada zenye kueleweka. Sasa ndio umeandika nini hapo juu? umenikera sana. [/QUOTE
sasa ndo umeandika nini hapa
Huwezi kunielewa. Kumbuka ule usemi: Ndege wa rangi moja huruka pamoja. Birds of the same feather flock togather.
lakini wao sio mungutungesikiliza na upande wa pili tungejua tatizo lilipo pia.ninachoweza sema ni kwamba u didint meet thier expectation,mfano walitaka either upate angalau div 1,2 upate mkopo usiwategemee nahisi hilo ila kumbuka wanakupenda sana majukumu na utafutaji wa pesa ulivyomguu na umaskini na tegemezi kuwa wengi ndio tatizo .umaskini tu ndio uliochangia
kuna mahali umeharibu hasa ulipofeli ndipo ulipoharibu kabisa,walichokitegemea kwako sicho walichokipata sasa wamekata tamaa hata huko mifugo walipokupeleka shukuru mungu.
Niliposhindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano dada yangu (mwalimu) na kakangu (businessman kimataifa) walinitafutia chuo cha MIFUGO NA KILIMO Iringa,nilipata nafasi hiyo na wakanipeleka. Lakin tangu nifike huko mwezi wa kumi 2012,ndugu zangu hawanipigii hata simu mpaka kuna wakati niliugua niliwajuza kwa sms sikuona hata missed call,nikaamua kupiga kwa dada matokeo yake simu ilipokelewa na rafii yake akaniambia ""usimsumbue dada yako ana majukumu nengi''.
Nikasaidiwa na wanafunzi wenzangu. Mwez wa 12 tukafunga tarehe 12, ikiwa niliwajuza pia kwa hili wiki mbili kabla,nikaamza kuomba nauli hawakupiga tena mpaka siku ya kufunga tukafukuzwa shuleni twende makwetu nikaondoka.
Mpaka sasa sijaona simu yao kupigiwa na nina wiki moja sijaenda shulenI nikipiga na kuuma sms hawajibu.
Nifanyeje jamani INANIUMA SANA, naomben ushauri