LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 300
- 266
Picha na mahali bossmwanza hutaki? kuna eneo kuuubwa
Kwa nini umemshauri ivo hahaUsisahau kuweka mzigo mkubwa wa yeboyebo, utanikumbuka
Watu wa Kanda ya ziwa na yeboyebo ni kama Madrid na come back 😂Kwa nini umemshauri ivo haha
Aiseee itabidi nijaribu huko pia 😅😅😅Watu wa Kanda ya ziwa na yeboyebo ni kama Madrid na come back 😂
Huo ukanda yebo zinatembea sanaaaKwa nini umemshauri ivo haha
Basi ntaangaza na huko nione na mimi nafanyaje.Huo ukanda yebo zinatembea sanaaa
Asante mkuuKila la Kheri.
😁😁😁 Sawa mkuuUsisahau kuweka mzigo mkubwa wa yeboyebo, utanikumbuka
Viatu vya special.Hujasema ni viatu aina gani?
Hujasema eneo/fremu ya shilingi ngapi?
Kuwa wazi usaidiwe.