Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 382
- 506
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa. hata hivyo katiba mpya haijapatikana. kama mwana chadema na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja. ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa chadema siyo moja na sisi. wanachama.
maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa. napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za chadema.
1: inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2:majeruhi hutelekezwa na chama
3:watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4:treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa. so mkikamatwa na lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu,yeye hagongwi.
5:sababu ya maandamano haya siyo genuine
kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid
Mungu yupi aliye pamoja na CHADEMA?Afadhali kweli Mungu yupo pamoja na CHADEMA maana ungeshiriki wewe kwenye maandamano lazima yangeusishwa na UGAIDI.
Mungu yupi aliye pamoja na CHADEMA?

Kweli ana laana huyo. Pamoja na kutajwa kushiriki kumtoboa jicho yule mwandishi kweli bado anajitokeza hadharani na utumbo kama huo alioandika? Ajue maumivu aliyopata Kibanda pia familia yake,ndugu na jamaa hata sisi wapenda haki lazima atayalipa siku moja. Na hii tabia yake ya kuleta mada za kiuchokozi inasaidia kumfanya tusimsahau ili siku ya kisasi ikifika akumbukwe. Haoni mwenzake yule mzee wa Iringa kajinyamazia baada ya kuhamishwa hiyo ni ishara ya kujutia kosa na hasira za watu huwa zinapungua.Tokea umemtoboa kibanda macho na kushirikiana na Gaidi Mwigulu kumbambikia lekwatare kesi naona hizo laana zimekufanya ukawa kama mwehu na bado utaanza kuokota makopo muda si mrefu pambaf mkubwa
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa. hata hivyo katiba mpya haijapatikana. kama mwana chadema na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja. ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa chadema siyo moja na sisi. wanachama.
maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa. napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za chadema.
1: inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2:majeruhi hutelekezwa na chama
3:watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4:treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa. so mkikamatwa na lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu,yeye hagongwi.
5:sababu ya maandamano haya siyo genuine
kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid
Natambua kuwa maandano ni haki inayominywa na katiba ya sasa hata hivyo katiba mpya haijapatikana. Kama mwana CHADEMA na mwanaharakati,kimsingi naunga mkono dhana ya maandamano hata yasiyo na kibali kama nia na sababu za viongozi na waandamanaji ni moja.
Ilivyo leo nia na sababu za viongozi wa CHADEMA siyo moja na sisi wanachama.
Maoni yangu ni kuwa viongozi wanataka kujenga mgogoro ili wapate fursa ya majadiliano na serikali baada ya watu kuuawa,ama kuumizwa.
Napinga na siwezi kushiriki maandamano haya pia kwa sababu ya tabia za CHADEMA.
1: Inasherehekea vifo na mazishi,na kutelekeza familia za marehemu
2: Majeruhi hutelekezwa na chama
3: Watakaokamatwa,kuwekwa ndani na kushtakiwa,watasota wenyewe na kutiwa gerezani bila msaada wa chama
4: Treatment ya polisi na magereza,ni tofauti.Wanachama hunyanyaswa,wakati viongozi huheshimiwa, hivyo mkikamatwa na Lissu mfano, wakati nyie mnagongwa virungu yeye hagongwi.
5: Sababu ya maandamano haya siyo genuine kwa hiyo maandamano haya lengo na sababu zake siyo valid.