Wanawake wamekuwa wakihangaika sana kutafuta urembo ili watuchanganye sisi wanaume, siku hizi pamoja na kuwa Mungu kawajalia nywele nzuri, bado wananunua feki, kucha nazo wananunua feki, matako nayo wananunua feki. Sitashangaa siku nikisikia wameanza kununua miguu feki ya kutembelea pamoja na kuwa wana miguu, macho ya bandia, mikono ya bandia, pua ya bandia na hata masikio ya bandia. Mwili mzima wa mwanamke unaelekea kuwa feki.
Hahaa mnatoa macho ya nini sasa kama hampendi
Mkuu,Wanawake wamekuwa wakihangaika sana kutafuta urembo ili watuchanganye sisi wanaume, siku hizi pamoja na kuwa Mungu kawajalia nywele nzuri, bado wananunua feki, kucha nazo wananunua feki, matako nayo wananunua feki. Sitashangaa siku nikisikia wameanza kununua miguu feki ya kutembelea pamoja na kuwa wana miguu, macho ya bandia, mikono ya bandia, pua ya bandia na hata masikio ya bandia. Mwili mzima wa mwanamke unaelekea kuwa feki.
Hapo mimi nadhani wanaturahisishia kazi, akikuomba fedha unampaza bandia, akitaka zawadi unampa mkufu wa dhahabu wa bandia, pete ya ndoa ya bandia.
Kila atakachotaka unampa bandia isipokuwa Gari na Nyumba ndiyo unampa visivyo bandia, kwa kuwa havipatikani vya bandia.
Mnajidai hamtaki wakati akipita aliyevaa fekifeki mnamtolea mijicho
nyumba ya bandia ni ile ya kupanga na gari bandia ni zile za kukodi
aisee wasije wakaweka Kei feki!!!
Sio wote tunaangalia kwa kutaman wengine tunaangalia kwa kifu na dharau ya shombo. .me nkimshikaga kichwa mwanamke mwenye weaving sjui ndio wigi huwa mwili unahis umait
mkuu upo kama mimi, mwanamke mwenye wigi namuona kama mchawi, anatisha sana, kama ze commedy Mpoki akivaaga liwigi na lipstick nyekundu, kama nikimbie.
oophss! Umewrong vibaya sana mkuu...
Mtu anapokuangalia haimaanishi kuwa anakupenda au anakutaman.
Inaweza kuwa
. Anakushangaa jinsi ulivyo wa ajabu,
. Anakufananisha na kikaragosi kwajinsi ulivyojitia mkorogo,
. Anakudharau kwa ufinyu wa akili yako jinsi ambavyo hujiamin na uasili wako,
. Anakuangalia ili apate cha kuja kuwaonya wengne wasiwe kama aliyejipiga bandia
. Hayo na mengne mengi tu.
Mnajidai hamtaki wakati akipita aliyevaa fekifeki mnamtolea mijicho
mkuu kidogo nikimbie, nimesituka.