Sitashangaa wanawake wakifika huku

Sitashangaa wanawake wakifika huku

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Wanawake wamekuwa wakihangaika sana kutafuta urembo ili watuchanganye sisi wanaume, siku hizi pamoja na kuwa Mungu kawajalia nywele nzuri, bado wananunua feki, kucha nazo wananunua feki, matako nayo wananunua feki.

Sitashangaa siku nikisikia wameanza kununua miguu feki ya kutembelea pamoja na kuwa wana miguu, macho ya bandia, mikono ya bandia, pua ya bandia na hata masikio ya bandia.

Mwili mzima wa mwanamke unaelekea kuwa feki.
 
Mnajidai hamtaki wakati akipita aliyevaa fekifeki mnamtolea mijicho
 
anadhani mtu ukiangalia ndo unapenda, wakati unaweza ukawa unashangaa au kusikitika, sawa na kumwangalia mtu aliyejeruhiwa.

Mngekuwa mnaangalia kwa kushangaa hata nisingesema...mnaangalia huku mnachombeza na vijimaneno
 
Mngekuwa mnaangalia kwa kushangaa hata nisingesema...mnaangalia huku mnachombeza na vijimaneno

wapo wa hivyo, ila kwa taarifa yako wanawake wa hivyo tunawachezea tu, hakuna mwanamue anayekuwa naye serious.
 
Back
Top Bottom