Sitasahau.......

Sitasahau.......

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
319
Reaction score
277
Habar wa JF
Leo nimeona nikumbuke siku ambayo ilinifanya niwe mdogo kama piliton na wa barid kama barafu!

Madhara ya kuwa na wapenzi wawili, ambao majina yao yaana anza J, mfano Jackline and Joyce! Sasa katika harakat za kumbembeleza mpenzi Jacklne kwa kupitia SMS, nzur yenye maneno mazito ya kimahaba alafu mwsh nikamalizia na jina la Jack, mh katika kutuma si nikamtumia Joyc badala ya..Jckln

Kilichotokea hapo........, ???? Hatari sana

Je wewe mwana wa chit-chat?? Tililika
 
Nadhani King'asti yupo sahihi hata ukiwa 6/6 marufuku kutaja majina ni baby kwenda mbele.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom