Sitasahau Special Thread

Sitasahau Special Thread

Nikiwa std seven babu yangu kaja kututembelea ,amekaa sitting room tunampikia kitoweo cha kuku jioni hiyo..
Mara tunaenda kumwita babu chakula tayari twende mezani haitiki
ita babu babu acha utani bwana chakula kimeiva haitiki ,baba hayupo kasafiri mama kasafiri..
tulivyoona tunatikisa haamki tukakimbia kwa jirani yetu alikuwa nesi kumwambia tunamwamsha babu haamki
Tukaja nae kumcheki katwambia tutoke nje...pata picha hali ilikuwaje hapo kumbe babu kishafariki baba hayupo mama hayupo
sitaki kukumbuka !
 
Siwezi sahau darasa la tatu, Imla ya Sadiki Na Sikiri, kalamu yangu ikagoma kuandika halafu mwalimu alikuwa mkali kama simba.
Bahati nilikuwa mwembamba ingekuwa watoto hawa wa sasa wanaojua stress siku hiyo wangeita ambulensi maana hiyo presha haikiwa ya kawaida.

Thank God akamwambia monita akusanye madaftari, nikapata muda wa kukopi.

...na kumbuka darasa la tatu ndio kwanza unaruhusiwa kuandikia karamu ya wino!
 
Siwezi kusahau siku ambayo nimechukua gari langu bandarini,wakati naelekea nyumbani nikamgonga mtu.It was a day fixed with different emotions!!
Umenikumbusha mbali, hata mi cku niliyonunua gari langu la kwanza baada ya kukabidhiwa funguo ile tu natoka kwa reverse nikagonga gari la mtu. Ilikuwa so kweli jamaa alinilamba kilo hapo hapo.
 
dah ni post nzuri..na nawapa pole wote waliofiwa..ila nashangaa kwa nini watu wana 'LIKE' kwenye post ambayo mtu amepost kufiwa??i think an altenative way inahitajika.
 
Tupia tukio ambalo huwez kulsahau.
Lakwangu cwez kusahau nlpokuwa chekechea nlchelewa shule kisa zambarau
 
Nikiwa shule ya m$ingi darasa la 4...kuna kijana mmoja anaitwa MU$A alijinyea mstarini wakati wa kukaguliwa usafi...walimu waliamuru wanafunzi wa shule nzima tumzomee..tangu siku hiyo hakuja tena shule..!
 
sitasahau nkiwa std 3 kuna mtoto alkua mkubwa na mbabe kulko wote clas bt kichwan c k2 cku ticha akaulza sugar kwwa kiswahl n nn ananforce nmwambie c nkamdanganya n mchanga tcha akamchagua akajibu kwa cnfdnc mchangaaaaaaaaaaaaa wa2 woote cls kicheko ucnkumbushe machungu nlopata break tym
 
Yan siwezi sahau sku ambayo niliacha shule kwa ujauzito na aliyenipa alisepa aliniacha kwenye mataa bt nashukuru mungu mtoto amekuwa ananipa faraja

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
siku nilipopiga mtungi enzi nikiwa chuo nikatukana block zima
fujo mtindo mmoja
kesh yake nahadithiwa sikumbuki
niliitwa na warden nikasolve.
but niliona noma kama wiki mbili hivi.
 
Sir H na wewe 1000 words
nimecheka sana peke yngu kama chiizi du!!
Ktk vituko Vya hasa std 1 kuna dogo alijiharishia clss sasa ticha wa mwandiko akamruhusu arudi home sasa action ambayo siisahaugi ni aliposhka njia ya kwao ambapo lazma apite uwanja wa mpira sasa mimi nilikuwa nakaa dawat la dirishani nilimuona dogo uhalo umetiririka miguuni hadi kwa soks na viatu af kijua cha saa 4:45 jion(maana std 1 na 2 tulikuwa 2naingia saa 2 tunatoka 5jion)
akaokota ganda la mua lipo ka kisu
akawa anakwangua kuanzia chin kuja juu!! Yaani huwa nacheka mwenyew nikikumbuka!

kingine nakumbuka std 3 sasa ticha wa English katupa mtihani wa kufunga shule mwez 3 sasa yale maswali yetu ya Jaza nafasi zilizoachwa wazi(fill the blanks)
nilikuwa naangalia manene sentenc najaza mixer kubuni mengine najaza sasa la kubwa lililofanya nifinywe mapaja siku ya kugawa mitihani niliwekewa sufuri lenye macho na masikio sasa swali moja nilifill hivi CHELEA APINA enz hizo neno lipo kwenye midomo ya watu!!!
 
Last edited by a moderator:
aaah mii sisaha Tambaza tulikuwa tunakojolea ukuta wa shule hadi ulipoanguka.. chezea KOJO la wanafunzi wewe? tulitembeza kichapo hadi kituo cha polisi Msimbazi kilifungwa. ungeniona mimi enzi hizo weeeeeee sasa kinachonikumbusha sana ni sikumoja tulimkamata konda wa daladala mitaa ya Polisi Ufundi, tulipiga hadi alijinyea. mii nashangaaga sana madenti wa siku hizi wanaonewa sana na makonda!!!!! sisi enzi zetu tulikuwa tunachagua basi la kupanda.. iwe Ekarusi, au madaladala maarufu ya Temeke enzi zile kama MV Mapenzi, Remember Bulongwa, Safari sound, Programs, White star, Harambee n.k.. Konda akinizuia tu basi tunamshusha kitakachofuata hapo ni balaaa... Chezea Tambaza wewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom