Sitasahau Special Thread

sintosahau siku niliyomtia jirani yetu mimba nikiwa na umri wa miaka 12,aisee lilikuwa bonge la zengwe uswahilini kwetu.Nalog off
 
Sintoweza kusahau siku mtoto wangu wa kwanza my lovely doughter alipofariki. Dah! Ee Mwenyez mungu mpumzishe kwa amani!
 
pole saana mpendwa,mungu ampumzishe baba yetu kwa amani
 
ahhh! Mdada ulikua unaota nn!!!
 
eeh!! Siku yangu umeifanya iwe nzuri kongosho!!!
 
Sitosahau siku niliyofaulu chekechea na kuingia darasa la kwanza. Kila nikikumbuka nafurahi sana. Ya kusikitisha ninayo mengi ila huwa sipendi kuyafikiria wala kuyakumbuka.
 
Siku nilipouliza kitendawili shuleni mbele ya mwalimu mdomo wa chupa umefanana na nini then nikatoa jibu aliendani nilikula mboko sana.
 
siku JJ anatangazwa mbunge wa ubungo, nilikuwa miongoni mwa walinda kura wake.
 
Most of them wamekuwa promoted sasa hivi ni wanasiasa na wabunge, lol!!
 
sintosahau siku niliyomtia jirani yetu mimba nikiwa na umri wa miaka 12,aisee lilikuwa bonge la zengwe uswahilini kwetu.Nalog off
Washawasha umeniacha hoi 12 years ushaanza kujingonolaizi haroooooooooooooooo.!!!!
 
Sintoweza kusahau siku mtoto wangu wa kwanza my lovely doughter alipofariki. Dah! Ee Mwenyez mungu mpumzishe kwa amani!

Pole sana mpenzi mungu aendelee kukupa nguvu na ujasiri kwa hili ,ni zito sana ktk hali ya kibinadamu.lakini katika ulimwengu wa roho tunasema mshukuru mungu kwa kila jambo.
 
Dah!hii umenitengenezea vema siku yangu,dagaa kwa kimombo wanaitwa sardines or sardine.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…